Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
 

Attachments

  • Plot Tegeta A (Kwa bedui)1.jpg
    Plot Tegeta A (Kwa bedui)1.jpg
    159.6 KB · Views: 6
  • Plot Tegeta A (Kwa bedui).jpg
    Plot Tegeta A (Kwa bedui).jpg
    128.7 KB · Views: 4
Angalia video yake ikiwa na barabara yake
 

Attachments

  • Plot Tegeta A (Beui).mp4
    74.2 MB
Yes, Tegeta A kanisa la Wasabato mita 10kumi baada ya kulipita kanisa mkono wa kushoto kinapakana na ukuta mpya unaojengwa yaani baada ya ukuta huoo
Ukaribu wa kanisa kwa mtazamo wangu utakuharibia soko. Mara nyingi madhara yake huonekana baadaye. Kila lakheri mkuu.
 
Ukaribu wa kanisa kwa mtazamo wangu utakuharibia soko. Mara nyingi madhara yake huonekana baadaye. Kila lakheri mkuu.
Ni Kweli lakini natumia kama alama ya kufika pale. Ukipaona ni tofauti sana. Asante kwa angalizo
 
Back
Top Bottom