Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Frem no 12 karibu sana Mzee king kongUkwamani fremu za Jeshi ,no ngapi?
28000 rejaWeka na bei nione Kama nitanunua nimpe binti mmoja hapa mtaani ,kanifurahisha Jana anawaambia wenziye eti Mimi naonekana Kama husband material
Nilicheka nikiwa pekee yangu na huzuni kuu ikatawala moyoni mwangu nikikumbuka kuwa siwezi kudumu kwenye mahusiano hata wiki
Reja 32,000
Shukran mkuu, karibu sanaMimi binafsi nakuombea mungu naona upo eneo sahihi, kitaalamu tunasema "Tengeneza kwanza goodwill, utashinda!
Kwa nn mkuu, mali kali hizo mchukulie shemeji utambe naeHizi zinawafaa kontena jipya, ndio
shem gani mkuu labda nimchukulie mama.Kwa nn mkuu, mali kali hizo mchukulie shemeji utambe nae
Half american si uninunulie pochi rafiki yangu