mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
- Thread starter
- #21
KaribuAhsante kwa taarifa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuAhsante kwa taarifa...
Wewe unaongelea vitu viwili tofauti kabisaTatizo la hp ni kwenye wino! Elfu 40 - 45! Huku printer ya Epson wino kwenye kichupa ni buku tano tu!
Mbona unachuki Sana mkuu? Mimi nilimqoute jamaa hapo juu aliyesema ana printer ya Epson kwahiyo nikawa nakolezea,sikudhami Kama maneno yangu yangekukela pole Sana nisamehe na uwe unakunywa maji mengi kupunguza hasirapunguza ujinga, huwezi fananisha LaserJet na InkJet printers
Printer nzuri sana hii..Nauza Printer HP kwa bei nafuu,
Printer ina sifa zifuatazo:
Pia printer ina Wireless Connection, yani unaweza kuunganisha Printer na Computer zaidi ya tatu bila kutumia wire, pia printer ni mpya ina wino wake na inafanya kazi.
- Scan
- Copy
Bei ya Printer ni 250,000/= dukani ni 400,000/=
Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
View attachment 1821659
View attachment 1821660
View attachment 1821661
View attachment 1821662
View attachment 1821663
-
Hiyo hapo inatumia laser jet, na wino og ni mpaka laki 2 na ushee, inazizidi printa wa ink tank za epson kwenye speed ya kuprint...Tatizo la hp ni kwenye wino! Elfu 40 - 45! Huku printer ya Epson wino kwenye kichupa ni buku tano tu!
Mbona unachuki Sana mkuu? Mimi nilimqoute jamaa hapo juu aliyesema ana printer ya Epson kwahiyo nikawa nakolezea,sikudhami Kama maneno yangu yangekukela pole Sana nisamehe na uwe unakunywa maji mengi kupunguza hasira
Ok mbona nasikia mara nyingine zinadai code fulani halafu haifanyi kazi mpaka uweke hiyo code ni kweli? Na mi nataka kununua hizo epson yeynye dvd trayKwa printer Bora bado Epson waku juu,ninazo mbili l850 na l805 ni nzuri na zinadumu,gharama ya wino chini Sana,na zinatoa coloured
Yes huwa Zina inkpads ambazo hufika mwisho,Ila Kuna software ukiingiza unafanya kazi vizuri,usiogope nunua tu mkuu ,Ila za sasa kwa toleo la Epson l850 zinakuwa na shida Fulani ya kuharibika mapema,hii yangu ina five years haijawahi kuleta shida,Ila Kuna jamaa zangu wawili walinunu mwaka Jana toleo la langu zinawasumbua Sana kwa kuharibika,Ok mbona nasikia mara nyingine zinadai code fulani halafu haifanyi kazi mpaka uweke hiyo code ni kweli? Na mi nataka kununua hizo epson yeynye dvd tray
Wino og ni shida. Ila uzuri ni kwamba kuna alternative ya toner nyingi sana. Halafu hapa bongo toner wanapunja sana.Hiyo hapo inatumia laser jet, na wino og ni mpaka laki 2 na ushee, inazizidi printa wa ink tank za epson kwenye speed ya kuprint...
Wakati epson inapambana kuprint page 1 hii imeshaprint karibu sita mpka10 ila za black n white...
Kama bahili na hauprint sana tafuta epson...
Ohoo sasa yenye tatizo ipi ktk hizo mbili.Yes huwa Zina inkpads ambazo hufika mwisho,Ila Kuna software ukiingiza unafanya kazi vizuri,usiogope nunua tu mkuu ,Ila za sasa kwa toleo la Epson l850 zinakuwa na shida Fulani ya kuharibika mapema,hii yangu ina five years haijawahi kuleta shida,Ila Kuna jamaa zangu wawili walinunu mwaka Jana toleo la langu zinawasumbua Sana kwa kuharibika,
Zote ni nzuri Ila gharama ya uendeshaji wa Epson printer ni ndogo,binafsi kwa printer Bora zaidi nashauri mtu atumie Epson,wataalam wanasema ikiwa printer iko Bei ndogo Basi gharama za uendeshaji wake ni kubwa,lakini ikiwa printer Bei yake ni kubwa Basi gharama za uendeshaji wake ni ndogoOhoo sasa yenye tatizo ipi ktk hizo mbili.
[emoji3516]Zote ni nzuri Ila gharama ya uendeshaji wa Epson printer ni ndogo,binafsi kwa printer Bora zaidi nashauri mtu atumie Epson,wataalam wanasema ikiwa printer iko Bei ndogo Basi gharama za uendeshaji wake ni kubwa,lakini ikiwa printer Bei yake ni kubwa Basi gharama za uendeshaji wake ni ndogo
Mkuu hiyo Canon inatoa kopi pia?[emoji3516]
KWA KIFUPI TU-
Quality bora ni HP,
WAKATI
Rafiki wa Uchumi ni EPSON.
Kwa biashara,
EPSON inafaa zaidi.
Kuhusu LASERJET,
Ni bora kujilipua 1.2M ili ununue CANON Image Runner.
ALL IN ALL,
KWA BEI ANAYOUZIA MLETA UZI,
NI RAFIKI SANA IKILINGANISHWA NA UBORA NA UPYA WA HIYO PRINTER.
CANON IR 2002/2202/2204/2206 ZINATUMIA Canon C-EXV 42 Black Toner Cartridge AMBAYO GENUINE INATOA COPIES 10,200.Mkuu hiyo Canon inatoa kopi pia?
Naomba unieleweshe zaidi uzuri wa hiyo printer kabla sijanunua !Weka contacts watu wakutafute printer nzuri sana hiyo.
Nauza Printer HP kwa bei nafuu,
Printer ina sifa zifuatazo:
Pia printer ina Wireless Connection, yani unaweza kuunganisha Printer na Computer zaidi ya tatu bila kutumia wire, pia printer ni mpya ina wino wake na inafanya kazi.
- Scan
- Copy
Bei ya Printer ni 250,000/= dukani ni 400,000/=
Nipo DSM, Tabata Kinyerezi
View attachment 1821659
View attachment 1821660
View attachment 1821661
View attachment 1821662
View attachment 1821663mawasiliano hujaweka mkuu.Tunakupataje?