INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

INAUZWA Nauza Printer HP kwa bei nafuu

Tatizo la hp ni kwenye wino! Elfu 40 - 45! Huku printer ya Epson wino kwenye kichupa ni buku tano tu!
Wewe unaongelea vitu viwili tofauti kabisa
Hiyo Printer ni Laser jet; wino wakeni mkubwa yaani ni tofauti kabisa na hivyo vichupa vya Epson winaprint karatasi zikizidi sana mia vimekwisha
Laser Jet inaweza kuprint rim hadi tatu ninaongelea karatasi 1200
 
punguza ujinga, huwezi fananisha LaserJet na InkJet printers
Mbona unachuki Sana mkuu? Mimi nilimqoute jamaa hapo juu aliyesema ana printer ya Epson kwahiyo nikawa nakolezea,sikudhami Kama maneno yangu yangekukela pole Sana nisamehe na uwe unakunywa maji mengi kupunguza hasira
 
Nauza Printer HP kwa bei nafuu,

Printer ina sifa zifuatazo:
  • Print
  • Scan
  • Copy
Pia printer ina Wireless Connection, yani unaweza kuunganisha Printer na Computer zaidi ya tatu bila kutumia wire, pia printer ni mpya ina wino wake na inafanya kazi.

Bei ya Printer ni 250,000/= dukani ni 400,000/=

Nipo DSM, Tabata Kinyerezi

View attachment 1821659
View attachment 1821660
View attachment 1821661
View attachment 1821662
View attachment 1821663
-
Printer nzuri sana hii..
Ila sio duplex! Kwa matumizi ya kawaida iko poa sana, black and white...
 
Tatizo la hp ni kwenye wino! Elfu 40 - 45! Huku printer ya Epson wino kwenye kichupa ni buku tano tu!
Hiyo hapo inatumia laser jet, na wino og ni mpaka laki 2 na ushee, inazizidi printa wa ink tank za epson kwenye speed ya kuprint...
Wakati epson inapambana kuprint page 1 hii imeshaprint karibu sita mpka10 ila za black n white...
Kama bahili na hauprint sana tafuta epson...
 
Mbona unachuki Sana mkuu? Mimi nilimqoute jamaa hapo juu aliyesema ana printer ya Epson kwahiyo nikawa nakolezea,sikudhami Kama maneno yangu yangekukela pole Sana nisamehe na uwe unakunywa maji mengi kupunguza hasira

nasema tena punguza ujinga na ujuaji
 
Kwa printer Bora bado Epson waku juu,ninazo mbili l850 na l805 ni nzuri na zinadumu,gharama ya wino chini Sana,na zinatoa coloured
Ok mbona nasikia mara nyingine zinadai code fulani halafu haifanyi kazi mpaka uweke hiyo code ni kweli? Na mi nataka kununua hizo epson yeynye dvd tray
 
Yes huwa Zina inkpads ambazo hufika mwisho,Ila Kuna software ukiingiza unafanya kazi vizuri,usiogope nunua tu mkuu ,Ila za sasa kwa toleo la Epson l850 zinakuwa na shida Fulani ya kuharibika mapema,hii yangu ina five years haijawahi kuleta shida,Ila Kuna jamaa zangu wawili walinunu mwaka Jana toleo la langu zinawasumbua Sana kwa kuharibika,
 
Hiyo hapo inatumia laser jet, na wino og ni mpaka laki 2 na ushee, inazizidi printa wa ink tank za epson kwenye speed ya kuprint...
Wakati epson inapambana kuprint page 1 hii imeshaprint karibu sita mpka10 ila za black n white...
Kama bahili na hauprint sana tafuta epson...
Wino og ni shida. Ila uzuri ni kwamba kuna alternative ya toner nyingi sana. Halafu hapa bongo toner wanapunja sana.
 
Yes huwa Zina inkpads ambazo hufika mwisho,Ila Kuna software ukiingiza unafanya kazi vizuri,usiogope nunua tu mkuu ,Ila za sasa kwa toleo la Epson l850 zinakuwa na shida Fulani ya kuharibika mapema,hii yangu ina five years haijawahi kuleta shida,Ila Kuna jamaa zangu wawili walinunu mwaka Jana toleo la langu zinawasumbua Sana kwa kuharibika,
Ohoo sasa yenye tatizo ipi ktk hizo mbili.
 
Zote ni nzuri Ila gharama ya uendeshaji wa Epson printer ni ndogo,binafsi kwa printer Bora zaidi nashauri mtu atumie Epson,wataalam wanasema ikiwa printer iko Bei ndogo Basi gharama za uendeshaji wake ni kubwa,lakini ikiwa printer Bei yake ni kubwa Basi gharama za uendeshaji wake ni ndogo
 
[emoji3516]
KWA KIFUPI TU-

Quality bora ni HP,
WAKATI
Rafiki wa Uchumi ni EPSON.

Kwa biashara,
EPSON inafaa zaidi.
Kuhusu LASERJET,
Ni bora kujilipua 1.2M ili ununue CANON Image Runner.

ALL IN ALL,
KWA BEI ANAYOUZIA MLETA UZI,
NI RAFIKI SANA IKILINGANISHWA NA UBORA NA UPYA WA HIYO PRINTER.
 
Mkuu hiyo Canon inatoa kopi pia?
 
Nauza Printer HP kwa bei nafuu,

Printer ina sifa zifuatazo:
  • Print
  • Scan
  • Copy
Pia printer ina Wireless Connection, yani unaweza kuunganisha Printer na Computer zaidi ya tatu bila kutumia wire, pia printer ni mpya ina wino wake na inafanya kazi.

Bei ya Printer ni 250,000/= dukani ni 400,000/=

Nipo DSM, Tabata Kinyerezi

View attachment 1821659
View attachment 1821660
View attachment 1821661
View attachment 1821662
View attachment 1821663mawasiliano hujaweka mkuu.Tunakupataje?
 
Back
Top Bottom