Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

teddy2025

Member
Joined
Jan 22, 2025
Posts
36
Reaction score
23
Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics.
Jirani ni msikiti, na kiwanda cha tissue
5,865 sqm
Urefu 141.01m
Upana 45.62
Bei 18.75M
Dalali 10%(kwa dalali akileta mteja)
Umbali ni 1.5km kutoka morogoro road
Nina mkataba wa mauziano na muuzaji, pia nina muhutasari wa serikali ya mtaa
Naomba kufunga mjadala nimepata mteja
 

Attachments

  • 17392007355458386382049614024730.jpg
    17392007355458386382049614024730.jpg
    140 KB · Views: 2
  • 17392016257969185112130846753924.jpg
    17392016257969185112130846753924.jpg
    103.8 KB · Views: 2
Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu ninauza ni eneo la viwanda vya wachina.
Naona eneo ni zuri na kubwa, hata huduma za umeme na maji zipo jirani kabisa. Hata ubali sio mkubwa sana kutoka Morogoro road, na bei ni raphiki kabisa.
Basi tutawasiliana mkuu, maadam mawasiliano umesha weka hapa...😊
 
Naona eneo ni zuri na kubwa, hata huduma za umeme na maji zipo jirani kabisa. Hata ubali sio mkubwa sana kutoka Morogoro road, na bei ni raphiki kabisa.
Basi tutawasiliana mkuu, maadam mawasiliano umesha weka hapa...😊
Karibu Asante mkuu nina maeneo mawili moja nauza
 
Hapana nina mkataba wa mauziano na muuzaji, pia nina muhutasari wa serikali ya kijiji.
mbona eneo unalodalalia ni la watu embu tuletee picha kwa sababu hapo napajua na pameshanunuliwa siku nyingi na wala hiyo siyo bei halisi kwa maeneo hayo hapo napajua vizuri eka ni 15M hata juzi hiyo ndio bei inayotembea tupe picha kwanza usije uza eneo la watu hakuna eneo la wazi maeneo hayo mpaka dampo kule chini ni maeneo ya watu
 
Back
Top Bottom