- Thread starter
- #21
Bontaboymbona eneo unalodalalia ni la watu embu tuletee picha kwa sababu hapo napajua na pameshanunuliwa siku nyingi na wala hiyo siyo bei halisi kwa maeneo hayo hapo napajua vizuri eka ni 15M hata juzi hiyo ndio bei inayotembea tupe picha kwanza usije uza eneo la watu hakuna eneo la wazi maeneo hayo mpaka dampo kule chini ni maeneo ya watu
9258628 NORTHINGS
482201 EASTINGS
Nenda angalia hizo coordinate uone