Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 295
- 561
Hati ipi ya serikali ya mtaa au hati miliki yenyewe ya wizara
Vipi umeshapata mteja?Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M
Vipi umeshapata mteja?
Madini gani mwamba🤔.Tufanye mchakato chap kwa haraka🚶Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M
Madini gani mwamba[emoji848].Tufanye mchakato chap kwa haraka[emoji124]
Njoo nikuunge na madalali wa kii international
Nipe namba yako kwa mawasiliano
Nimeshindwa kupata namba yako
Nimeshindwa kupata namba yako
Chalinze ni kubwa. Lipo umbali gani toka kwenye barabara ya lami na kijiji kipi?
Tuliwaambia msipapukie kununua mashamba mbali na Dar. Ona sasaWakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M
Tuliwaambia msipapukie kununua mashamba mbali na Dar. Ona sasa