Plot4Sale Nauza shamba langu Chalinze mkoa wa Pwani

Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.

Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.

Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk

Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.

Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.

Price: 6M
Jumla ndo bei gani
 
IMG_9988.jpg

IMG_9981.jpg

IMG_9980.jpg

IMG_9989.jpg

Maji ya bomba pia yapo kijijini.

Hiyo barabara inanyosha hadi Turiani morogoro sahivi wameanza atua za kuijenga kwa rami.

Center imechangamka sana ila nilichukua video inagoma ku upload kwa kifupi sio porini ni sehemu ambayo imechangamka.
 
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.

Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.

Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk

Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.

Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.

Price: 6M
Milioni 6 ekari 20?
 
Back
Top Bottom