Plot4Sale Nauza shamba langu Chalinze mkoa wa Pwani

Plot4Sale Nauza shamba langu Chalinze mkoa wa Pwani

Tangazo kama lina usanii mwingi sana. Hamna picha. Watu wa madini huwa wanachukua tu maeneo, kupakana nao siyo sifa. Pia Heka unamaanisha nini?
 
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.

Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.

Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk

Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.

Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.

Price: 6M
Bosi lipo upande gani chalinze?
 
Hizi ni baadhi ya picha maana msimu huu nililima mahindi
 

Attachments

  • IMG_8606.jpg
    IMG_8606.jpg
    114.2 KB · Views: 11
  • IMG_8600.jpg
    IMG_8600.jpg
    77.4 KB · Views: 9
  • IMG_8627.jpg
    IMG_8627.jpg
    158 KB · Views: 9
  • IMG_8653.jpg
    IMG_8653.jpg
    153.4 KB · Views: 8
  • IMG_8654.jpg
    IMG_8654.jpg
    160.9 KB · Views: 8
Hilo banda lipo ndani ya shamba. Nilikuwa nafanya ufugaji wa mbuzi pia
 

Attachments

  • IMG_6774.jpg
    IMG_6774.jpg
    119 KB · Views: 9
  • IMG_6771.jpg
    IMG_6771.jpg
    99.9 KB · Views: 12
  • IMG_6770.jpg
    IMG_6770.jpg
    130.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom