Location tafadhali Kijiji kitongoji umbali Toka barabara inafikika kirahisi au laaaBado mkuu. Karibu tufanye biashara maana nina shida nataka nitatue. Mwaka umekuwa mgumu sana huu.
Kimfacho mtu chake
Jumla ndo bei ganiWakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M
Bado sijapata mnunuzi. Anyone interested dm me plz
Jumla ndo bei gani
Umepata mteja tayari? Niko Sumbawanga naitaji hilo shamba.. tukiafikiana tuu kesho napanda majinja nakuja
Mji vipi
Mji vipi
Sa skia mi nakuja kujaribi kichomba madini tuuh
Milioni 6 ekari 20?Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo.
Shamba lina rutuba sana na mazao mengi yanakubali kama ufuta, mihogo, mahindi, alizeti Nk
Hati ya shamba ninayo na shamba ni la kwangu mwenyewe, nauza kutokana na changamoto zangu binafsi.
Pembeni ya shamba langu pia kuna mgodi wa madini ambao umeanza kazi mwaka huu. So you never know labda shambani kwangu pia kuna madini.
Price: 6M
Dar ardhi kama DhahabuTuliwaambia msipapukie kununua mashamba mbali na Dar. Ona sasa
Kwa Chalinze vijijini hii bei iko sawa.Tatizo ukitumia dakali bei inakuwa kubwa.Tembeleeni vijijini mpate bei halisiMilioni 6 ekari 20?
Milioni 6 ekari 20?
Kwa Chalinze vijijini hii bei iko sawa.Tatizo ukitumia dakali bei inakuwa kubwa.Tembeleeni vijijini mpate bei halisi