- Thread starter
- #41
Yaani kwamba simu ya wizi then ni ya mkopo. Unakuwa unailipia Kwa mfumo gani kama ni ya wizi? Au ukishaiba unabadilisha unakuwa unailipia Kwa details zako? Mbona mna fikira finyu? Niibe simu then nibadilishe nikalipie Kwa details zangu? Au mnafikiri kila mtu anaishi maisha ya upuuzi kama yenu? Stop being stupid! Simu ninayo ni ya kwangu na details zote za malipo ni zangu. Huo wizi umetokana na nini? Pumbavu sana.Kuna harufu simu ya wizi
Utaki kuweka uthibitisho
Angalizo Christmas isije kuwakuta magereza