SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

Status
Not open for further replies.
Mkuu final ni 20 kwa feni na nachukua 2 na nakupa 40.Kama uko In then nipe maelezo ya sehemu yako na kama haiwezekani kua huru
 
Mkuu final ni 20 kwa feni na nachukua 2 na nakupa 40.Kama uko In then nipe maelezo ya sehemu yako na kama haiwezekani kua huru
Nashukuru mkuu kwa offer yako lakini kwangu bado itanikata sana, hivyo nadhan haitawezekana. Ingawa naweza kukupa kwa 45 ikowepo discount ya elfu tano ya kukuchangia nauli.
 
Tatizo hivi vitu havina risiti, hiyo decorder ya dstv na dish ngechukua lakin haya maswala ya kuja kunitaifisha na fenicha zangu kisa 50k ndo sipendagi kabisa
 
Tatizo hivi vitu havina risiti, hiyo decorder ya dstv na dish ngechukua lakin haya maswala ya kuja kunitaifisha na fenicha zangu kisa 50k ndo sipendagi kabisa
Mkuu card ya decoder ina jina langu na unaconfirm identities zangu, shida iko wapi?
 
Ni Dish pekee. Niliibiwa decoder ya azam, hivyo nikaenda kununua tena full, dish na decoder. So nikaitumia decoder pekee na dish likabaki bila ya matumizi.
Ila umesema dish complete
 
Mkuu namaanisha ule ungo (dish) ndio upo complete na vifaa vyake! Decoder ndio inamiss katika mfumo wa dish+decoder. Sijui kama nimesomeka vizuri
Nimekusomaaa .....waya unatoaa??
 
Niuzie hii amplifier
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…