- Thread starter
- #41
Hapana mkuu. Chini ya 25 haiwezekani.Mkuu embu fanya hiyo hela nije kuchukua feni 2 kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Chini ya 25 haiwezekani.Mkuu embu fanya hiyo hela nije kuchukua feni 2 kesho
Sofa min ni 100kSofa nikupe 70
Nashukuru mkuu kwa offer yako lakini kwangu bado itanikata sana, hivyo nadhan haitawezekana. Ingawa naweza kukupa kwa 45 ikowepo discount ya elfu tano ya kukuchangia nauli.Mkuu final ni 20 kwa feni na nachukua 2 na nakupa 40.Kama uko In then nipe maelezo ya sehemu yako na kama haiwezekani kua huru
Mkuu napatikanaMkuu mbona namba haipatikani
Mkuu card ya decoder ina jina langu na unaconfirm identities zangu, shida iko wapi?Tatizo hivi vitu havina risiti, hiyo decorder ya dstv na dish ngechukua lakin haya maswala ya kuja kunitaifisha na fenicha zangu kisa 50k ndo sipendagi kabisa
kochi nakupa 80 hilo,uko wapMkuu card ya decoder ina jina langu na unaconfirm identities zangu, shida iko wapi?
Mkuu njoo uchukue kwa 100 mkuukochi nakupa 80 hilo,uko wap
Ila umesema dish completeNi Dish pekee. Niliibiwa decoder ya azam, hivyo nikaenda kununua tena full, dish na decoder. So nikaitumia decoder pekee na dish likabaki bila ya matumizi.
Mkuu namaanisha ule ungo (dish) ndio upo complete na vifaa vyake! Decoder ndio inamiss katika mfumo wa dish+decoder. Sijui kama nimesomeka vizuriIla umesema dish complete
Nimekusomaaa .....waya unatoaa??Mkuu namaanisha ule ungo (dish) ndio upo complete na vifaa vyake! Decoder ndio inamiss katika mfumo wa dish+decoder. Sijui kama nimesomeka vizuri
Hapana, wire hakuna!Nimekusomaaa .....waya unatoaa??
OkHapana, wire hakuna!
Niuzie hii amplifierWakuu habari za muda huu:
Nimerudi tena... Vifuatavyo vipo tayari kwa anayehitaji. Vitu hivi nilikuwa navitumia mwenyewe ila kwa sasa sina matumizi navyo. Navitoa kwa bei iliyo fair kabisa.
Location ni Mtoni - Kijichi. Mawasiliano: 0687868455. Karibuni.
1. Speaker (Nzima) kubwa ya gari. Bei 100,000 (SOLD)
View attachment 618357 View attachment 618358 View attachment 618359
2. Feni tatu za ukutani (Zote nzima), kila moja Tsh. 35,000
View attachment 618369
3. Amplifier(Nzima) kwa ajili ya speaker ya gari, Tsh. 80,000 (SOLD)
View attachment 618373
4. TV 42inches (Ina tatizo la transformer), Tsh. 100,0000View attachment 618383 View attachment 618384 View attachment 618385
5. Dish complete la Azam Jipya (Tsh. 35,000), Dish la Dstv (halina machine ya dish) Tsh. 15,000
View attachment 618392 View attachment 618393
6. Majiko ya mkaa
a) Jiko la Nyama choma 130,000
View attachment 618395
b) Jiko la mishkaki Tsh. 50,000
View attachment 618397
c) Mkaa la kawaida lenye rim Tsh. 30,000
View attachment 618400
7. Spiral Binding machine Tsh. 50,000
View attachment 618403
8. Main switch ndogo ya Tronic (Tsh. 30,000)
View attachment 618406 View attachment 618407 View attachment 618408
9. Kochi la sofa la watu wawili (Tsh. 120,000)
View attachment 618425
10. Decoder ya Dstv na remote yake (Tsh. 25,000)
View attachment 618427
Mkuu nimeuona wire wake. So utaupata!Nimekusomaaa .....waya unatoaa??
Aisee ngoja na mimi nikachungulie vya kuuza, kumbe vyuma chakavu vina bei!awamu Hii.watu watauza sana Vyombo vya Ndani
OoooohMkuu nimeuona wire wake. So utaupata!
Amplifier ilishachukuliwa mkuuNiuzie hii amplifier