INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

INAUZWA Nauza taa za kuchaji zinazoua mbu na wadudu wengineo

Taa ninazo bado huu msimu wa siku kuu ndo safi
 
Tuendelee kupambana na mbu wadau, kipindi cha mvua mbu wanasumbua sana
 
Uzuri wa hivi viulia mbu vya Kuchaji
unaweza beba ukaenda navyo shamba huko ambako umeme ni changamoto,
Usiku wako ukawa wa usingizi tulivu kabisa
 
Lamp hizi za kuchaji zinasaidia sana hasa kipindi hiki cha umeme wa mgao, Ikishachajiwa itakusave kipindi umeme umekata
 
Lamp hizi za kuchaji zinasaidia sana hasa kipindi hiki cha umeme wa mgao, Ikishachajiwa itakusave kipindi umeme umekata
Tatizo lenu hivi Vitu China havina bei, mkishavileta Bongo mna over value ndio sababu mnakaa na mzigo muda mrefu.
 
Wakuu kifaa ni salama zaidi ya kupuliza madawa ambayo yanaleta kero ya upumuaji
 
Pambana na mbu nyumbani kwako kisasa bila kuathiri mazingira ya nyumbani kwako, tumia hizi taa za kuchaji popote hasa kipindi hiki cha mgao wa umeme
 
Back
Top Bottom