INAUZWA Nauza tololi Tsh 100,000, nipo Dar

INAUZWA Nauza tololi Tsh 100,000, nipo Dar

Ibrahim daud

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
609
Reaction score
524
Hii tololi ni nzuri akipata eneo lenye mzunguuko mfano stand au sokoni
Nauza laki tu
Dsm
☎️ 0718909429

IMG-20220425-WA0011.jpg


IMG-20220425-WA0010.jpg


IMG-20220425-WA0009.jpg


IMG-20220425-WA0008.jpg
 
Dah! Kiwanda hicho. Halafu bei ni karibu na bure kabisa.
 
Vijana mnaotafuta kazi,chukueni kitendea kazi hicho mjidai mjini,sio mnang'ang'ania kazi za ofisini tu.
 
Back
Top Bottom