Car4Sale Nauza Toyota Rumion

Car4Sale Nauza Toyota Rumion

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
2,886
Reaction score
9,088
SOLD
 
Attachments

  • IMG-20240102-WA0002.jpg
    IMG-20240102-WA0002.jpg
    70.7 KB · Views: 24
Hata kama kuna maongezi bado ukiuza 14mil....bei yake iko juu rumion kama hiyo ni mil.11 au 12 amepata sana.
Madalali ndio wanachelewesha watu vitu kutoka kwa kuweka tamaa sana

Hii gari nikitag wanajeshi tena vijana vijana kwa bei uliyotaja hapo inaondoka chap sana.

Huyo ana tamaa
 
Haijafikisha mwaka tangu imilikiwe, mmiliki mmoja pekee mwanamke
Kaichubua kidogo ubavuni
Pia utahitaji kurekebisha roof kwa rangi.
Iko katika condition nzuri
Details za gari zipo kwenye Kadi pichani
Bei mil 16,800,000

Interested..+255785199755

Nb;kama unapata tabu kufungua picha ingia kupitia chrome nk!

Karibu

View attachment 2860446
Nina 9mil unakula
 
Ukiona mtu anakuwa mbogo kwenye biashara yake jua kuna tatizo.

Kasema imechubuliwa kidogo ubavuni picha haionyeshi marekebisho ya roof hatuoni watu wanatafuta thamani halisi ya gari dalali unawaka ili nn sasa nyie ndio wale mtu amakagua gari unaanza kumpangia hiki hapana speed punguza milio kibao..... Mkuu jitahidi udalalie gari za kueleweka mbali na hapo jifunze kutabasamu hata kama mtu kakukwaza na maoni yake biashara haitaki hasira........ 16m unavuta rumion kaliii isiyotaka marekebisho yoyote sasa kwann mtu aje kununua hiyo iliogongwa na mdada full kupigwa pasi
 
Umeleta biashara umekuwa mkali tena. Hili ni Jukwaa huru . Maswali na maoni lazima yatakuwepo tu.
.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?
Sa mipasho toka Kwa wanaume ya Nini hapa?
Ohh msameheni kaanza udalali Leo
Rumion mpya toleo la 2008 unapata Kwa mil 11 showroom..aende akanunue

Unadhani ntawajibuje?
 
Picha ziko wapi tutathmini na hayo marekebisho
.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?
Sa mipasho toka Kwa wanaume ya Nini hapa?
Ohh msameheni kaanza udalali Leo
Rumion mpya toleo la 2008 unapata Kwa mil 11 showroom..aende akanunue

Unadhani ntawajibuje?
 
Ukiona mtu anakuwa mbogo kwenye biashara yake jua kuna tatizo.

Kasema imechubuliwa kidogo ubavuni picha haionyeshi marekebisho ya roof hatuoni watu wanatafuta thamani halisi ya gari dalali unawaka ili nn sasa nyie ndio wale mtu amakagua gari unaanza kumpangia hiki hapana speed punguza milio kibao..... Mkuu jitahidi udalalie gari za kueleweka mbali na hapo jifunze kutabasamu hata kama mtu kakukwaza na maoni yake biashara haitaki hasira........ 16m unavuta rumion kaliii isiyotaka marekebisho yoyote sasa kwann mtu aje kununua hiyo iliogongwa na mdada full kupigwa pasi
Wapi nimesema imegongwa? Na kama mtu Yuko serious dakika yoyote anaiona.jf
Gari ni mpya zaidi ya kupaka rangi kwenye mkwaruzo mdogo hakuna kingine.
Kuhusu kutaja changamoto nimeamua kuwa honest na mtu akipiga hesabu akiomba apunguziwe bei inashuka mbona.
Mbona wapo tayari wamebargain na mhusika wanataka Kwa 15 cash ma tunaendelea.
Kama mtu anaona bei ghali akanunue jipya,ende
 
Hakuna gari mpya ikapakwa rangi mkuu
 
.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?
Sa mipasho toka Kwa wanaume ya Nini hapa?
Ohh msameheni kaanza udalali Leo
Rumion mpya toleo la 2008 unapata Kwa mil 11 showroom..aende akanunue

Unadhani ntawajibuje?
Hakuna Gari mpya ya 2008. Hiyo mtumba tena mtumba uliotumika Tanzania. Kwa m10 unapata mtumba Toka Japan
 
Back
Top Bottom