Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama kuna maongezi bado ukiuza 14mil....bei yake iko juu rumion kama hiyo ni mil.11 au 12 amepata sana.Kwanini ununue gari ya kubeba watu wanne na Kwa Bei hiyo unapata gari ya watu 9 Alphard
Kaanza udalali leo mkuu,,, msamehe.Hata kama kuna maongezi bado ukiuza 14mil....bei yake iko juu rumion kama hiyo ni mil.11 au 12 amepata sana.
Unaweza kwenda nunua alphard.Kwanini ununue gari ya kubeba watu wanne na Kwa Bei hiyo unapata gari ya watu 9 Alphard
Sawa mzoefuKaanza udalali leo mkuu,,, msamehe.
Sawa nenda showroom na mil 11.mpya namba E latest utapataHata kama kuna maongezi bado ukiuza 14mil....bei yake iko juu rumion kama hiyo ni mil.11 au 12 amepata sana.
Hii alphard ni mpya kwani??? na showroom pia alphard mpya ni chache.Sawa nenda showroom na mil 11.mpya namba E latest utapata
Umeleta biashara umekuwa mkali tena. Hili ni Jukwaa huru . Maswali na maoni lazima yatakuwepo tu.Sawa nenda showroom na mil 11.mpya namba E latest utapata
Madalali ndio wanachelewesha watu vitu kutoka kwa kuweka tamaa sanaHata kama kuna maongezi bado ukiuza 14mil....bei yake iko juu rumion kama hiyo ni mil.11 au 12 amepata sana.
Nina 9mil unakulaHaijafikisha mwaka tangu imilikiwe, mmiliki mmoja pekee mwanamke
Kaichubua kidogo ubavuni
Pia utahitaji kurekebisha roof kwa rangi.
Iko katika condition nzuri
Details za gari zipo kwenye Kadi pichani
Bei mil 16,800,000
Interested..+255785199755
Nb;kama unapata tabu kufungua picha ingia kupitia chrome nk!
Karibu
View attachment 2860446
We ni mwanaume?Hii alphard ni mpya kwani??? na showroom pia alphard mpya ni chache.
.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?Umeleta biashara umekuwa mkali tena. Hili ni Jukwaa huru . Maswali na maoni lazima yatakuwepo tu.
.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?
Sa mipasho toka Kwa wanaume ya Nini hapa?
Ohh msameheni kaanza udalali Leo
Rumion mpya toleo la 2008 unapata Kwa mil 11 showroom..aende akanunue
Unadhani ntawajibuje?
Wapi nimesema imegongwa? Na kama mtu Yuko serious dakika yoyote anaiona.jfUkiona mtu anakuwa mbogo kwenye biashara yake jua kuna tatizo.
Kasema imechubuliwa kidogo ubavuni picha haionyeshi marekebisho ya roof hatuoni watu wanatafuta thamani halisi ya gari dalali unawaka ili nn sasa nyie ndio wale mtu amakagua gari unaanza kumpangia hiki hapana speed punguza milio kibao..... Mkuu jitahidi udalalie gari za kueleweka mbali na hapo jifunze kutabasamu hata kama mtu kakukwaza na maoni yake biashara haitaki hasira........ 16m unavuta rumion kaliii isiyotaka marekebisho yoyote sasa kwann mtu aje kununua hiyo iliogongwa na mdada full kupigwa pasi
Hakuna gari mpya ikapakwa rangi mkuuWapi nimesema imegongwa? Na kama mtu Yuko serious dakika yoyote anaiona.jf
Gari ni mpya zaidi ya kupaka rangi kwenye mkwaruzo mdogo hakuna kingine.
Kuhusu kutaja changamoto nimeamua kuwa honest na mtu akipiga hesabu akiomba apunguziwe bei inashuka mbona.
Mbona wapo tayari wamebargain na mhusika wanataka Kwa 15 cash ma tunaendelea.
Kama mtu anaona bei ghali akanunue jipya,ende
Hakuna Gari mpya ya 2008. Hiyo mtumba tena mtumba uliotumika Tanzania. Kwa m10 unapata mtumba Toka Japan.I sio mkali dear hata ukali siujui.sema Kuna watu wanajua kutisha tamaa wenzao.mrekebishe mtu kistaarabu.haujui struggle za aina gani tunapitia nyuma ya keyboard,kama bei inaonekana kubwa sana si mteja atabargain na mwenye mali atamshushia wamalize?
Sa mipasho toka Kwa wanaume ya Nini hapa?
Ohh msameheni kaanza udalali Leo
Rumion mpya toleo la 2008 unapata Kwa mil 11 showroom..aende akanunue
Unadhani ntawajibuje?