DANIEL MWITA
Senior Member
- Sep 16, 2012
- 117
- 41
- Thread starter
- #21
Utapata tu mkuu ni mipango tu
Eeeeh Mungu nibariki mwaka huu niwe na gari kama hili inshallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeeh Mungu nibariki mwaka huu niwe na gari kama hili inshallah
utakua nayo tu mkuuEeeeh Mungu nibariki mwaka huu niwe na gari kama hili inshallah
Ninayo zaidi ya 9 years. Sijawahi pata pancha.Kila la kheri mkuu, ila vanguard ni pasua kichwa sana, gari gani haina spare tyre aysee
ninaenda masomoni nje ya nchi kakaHiyo gari nimeimezea mate kabisa sababu ina hadhi ya kuitwa gari kwa mtu mwenye kipato standard, hapo ndiyo unajua hii dunia kumbe tamu.
Sema Boss sijui kwa nini unaiuza if its a gift au yours its Okay. ila let me tell you, you have a nice ride for standard life. Enjoy it 💪💪💪
Shusha Bei kaka walengaji tujaribu kuilipia tutafute chochote kitu kwa baadae.ninaenda masomoni nje ya nchi kaka
Yaani ni shida sana...watu wamepoteza utu.Kwanini watanzania tunajua kubambikizia wenzetu eti 35m hapo unafuu na kununua mpya. Af hizo odi meter 75k ntakua imeguswa uongo wakijinga
Godbless You.......ninaenda masomoni nje ya nchi kaka
Kuwa mstaarabu mzee, tumia lugha nzuri.Kwanini watanzania tunajua kubambikizia wenzetu eti 35m hapo unafuu na kununua mpya. Af hizo odi meter 75k ntakua imeguswa uongo wakijinga
nashukuru kwa kunisaidia kaka watanzania tujenge utamaduni wa kukagua vitu siyo kulalamika hata kabla hujaionaKuwa mstaarabu mzee, tumia lugha nzuri.
.
Kama una wasiwasi na Odometer kwann usifike ukazikagua? Zipo namna ya kugundua kama ni Genuine au la.
.
Na kuhusu Bei kama unaona ni kubwa sana si uachane nayo wanaoweza wanunue mzee?
.
Kuwa mstaarabu mkuu [emoji1666]
Imesima noma na nusu....Chuma kali halafu ina sun roof[emoji41]. Mwenye pesa aruke nayo Vanguard ni tamu sana
karibu mkuuImesima noma na nusu....
Mkuu 30m business?karibu mkuu
Anakuja pengine yuko busyMkuu 30m business?
Uko mbali kidogo MkuuMkuu 30m business?
Ni kweli unachokisemaShida ya gari za Toyota ni bei ukilinganisha na gari europe, gari zinazofanana lakini bei zake ni rafiki sana kuliko hizi mjapan hasa Toyota