Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

Mbona Sasa hiyo ni bei ya show room mkuu ungesema bei mzuri.Kwa sababu watakaonunua hapo ni walengaji.Ambao nao watakaa nayo kuitafutia mteja.
 
Pole na majukumu mtoa post.

All in all boss hiyo gari yako yenye number plate T350EAQ mi kama dalali naomba nikutafutie mteja wa milioni 27,000,000/=TZS. 🤝🤝🤝

Ila kiufupi gari kwenye picha inaonekana kali na haina kipengele au kama utahitaji bei nyingine ni PM asap boss.

Mungu akutangulie kwenye hitaji lako mkuu 🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏
 
Hiyo gari nimeimezea mate kabisa sababu ina hadhi ya kuitwa gari kwa mtu mwenye kipato standard, hapo ndiyo unajua hii dunia kumbe tamu.

Sema Boss sijui kwa nini unaiuza if its a gift au yours its Okay. ila let me tell you, you have a nice ride for standard life. Enjoy it 💪💪💪
 
ninaenda masomoni nje ya nchi kaka
 
Kwanini watanzania tunajua kubambikizia wenzetu eti 35m hapo unafuu na kununua mpya. Af hizo odi meter 75k ntakua imeguswa uongo wakijinga
Kuwa mstaarabu mzee, tumia lugha nzuri.
.
Kama una wasiwasi na Odometer kwann usifike ukazikagua? Zipo namna ya kugundua kama ni Genuine au la.
.
Na kuhusu Bei kama unaona ni kubwa sana si uachane nayo wanaoweza wanunue mzee?
.
Kuwa mstaarabu mkuu [emoji1666]
 
nashukuru kwa kunisaidia kaka watanzania tujenge utamaduni wa kukagua vitu siyo kulalamika hata kabla hujaiona
 
Chuma kali halafu ina sun roof[emoji41]. Mwenye pesa aruke nayo Vanguard ni tamu sana
 
Back
Top Bottom