Nauza Toyota VX na Land Rover

Nauza Toyota VX na Land Rover

Juliet mbona umeingia mitini au wewe ni dalali nini? show your response please! wadau tunataka kujua BEI, KM ilizotembea, CC ngapi? Kuendeshwa na mwanamke sio kigezo ,kwani akiendesha mwanamke injini haitembei au tairi hazizunguki?
 
Gali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.

mbezi ni kubwa mbezi sehemu gani?au ni zile zilizopo pale Africasana kwa mble kidogo kulia kama unatoka mjini kabla ya mbuyuni?
 
Duu bongo bana! hatuaminiani ati! huyo mwanamke kakukosea nini jamaa yangu? wewe si uuze tu gari mpaka uchanganye genders?
 
Labda kama hili....

Landcruiser001.jpg
 
ANAUZA GALI????JULIET JOHN ANAUZA GALI SIO KAMA KONA NA JOLLY KULE NI NAFUU,JULIET YEYE ANAUZA GALI mh;;
 
Gali ziko dar es salaam mbezi beach, serious buyer aje kuziona. Piga simu 0754002900 au 0754002700.

Mbona namba hazipatikani jamani?

Kitomai yupo wapi jamani mwenye mawasiliano nae tafadhari
 
Back
Top Bottom