Seto
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 953
- 56
....halafu hizi tabia za kusema Gari lilikuwa linatumiwa na mwanamke zinakera sana! Mantiki yake ni nini? anakuwa halitumii au analitia shombo au inakuwaje vile?
ETI MWANAMKE MTUNZAJI!!:smile-big::smile-big: