Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
habari vijana.

nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta.

bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS.

ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika.

kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana kuongeza kipato. vyuoni watu wanaprint print sana tshirts, na mashine haichukui nafasi kubwa, unakaa nayo hata geto tu. na ni rahisi kutumia





tazama mwenye binti huyu anavyoprint tshirts zake


 
Back
Top Bottom