TV4Sale Nauza TV ya inch 24

TV4Sale Nauza TV ya inch 24

jamilaa78

Member
Joined
Apr 29, 2024
Posts
9
Reaction score
11
Ni mama nawatt wawili ninamiaka 30 ..kitu cha thamani nilichobaki nacho Ni iyo TV Tu sasa naiuza niweze kufanya biashara Na kulipa kodi naamin Mungu ataniwezesha ntanunua bdae mambo yaikaa Sawa Bora nifanye biashara watt wangu wapate kuingiza chochte kitu mdomoni ..

Nauza laki moja Tu nahitaj kuanzisha biashara ya kuchoka mihogo ninunue vifaa vya biashara naombeni mnunue iyo TV Ni nchi 24 watt awaelew Kama Sina kitu niokoleen jahazi

Sina msaada Bora niuze Mali yangu Halali
 
Attachments

  • IMG_20240915_115623.jpg
    IMG_20240915_115623.jpg
    331 KB · Views: 7
Ni mama nawatt wawili ninamiaka 30 ..kitu cha thamani nilichobaki nacho Ni iyo TV Tu sasa naiuza niweze kufanya biashara Na kulipa kodi naamin Mungu ataniwezesha ntanunua bdae mambo yaikaa Sawa Bora nifanye biashara watt wangu wapate kuingiza chochte kitu mdomoni ..nauza laki moja Tu nahitaj kuanzisha biashara ya kuchoka mihogo ninunue vifaa vya biashara naombeni mnunue iyo TV Ni nchi 24 watt awaelew Kama Sina kitu niokoleen jahazi ..Sina msaada Bora niuze Mali yangu Halali
Pole sana mama ,uko wapi ? Je mwenye kuhitaji TV akupate kwa namba gani ?
Hiyo biashara umeifanyia uchunguzi unahisi maeneo unakoipeleka itapokelewa vyema ?
Pole sana mama ,natamani niwe na majukumu Kama yako ,yaani nione watoto wananidai kula ,kulala na kusoma ila Mungu mwema ,amini yatakaa sawa
 
Mungu atakupa kipenzi
 
Au Mimi na wewe tuungane tuone itakuwaje ?
Haha haaa mimi ninae tayari nina kahandsome miaka miwili, japo ni single mother lakini namshukuru sana Mungu sina kikubwa ila angalau njia ya chooni tunaiona. hivyo naelewa anachopitia jamila ndo maana nataka nimpe karai make lipo tu halina kazi anaweza chukua akaanzia.
 
Au tuungane kumlea handsome wetu huo .
Deal na Mimi usiangalie wazee wa heshima akina Ngurukia wanakomenti nini
 
Back
Top Bottom