RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Bei gani? Weka bei ili nikija PM tusipoteze muda.Wakuu salama,
Nauza tyres4 mpya kabisa zina muda wa miezi 3 na rim zake mpya kabisaa. Tyres ni Goodyear ni imara sana. Ukitaka tyre peke yake nitakuuzia na rim pia. Tyre size ni 215/45/R17 na rim ni size 17. Karibuni pm kwa biashara nipo DSM, mkoani natuma[emoji3]