INAUZWA Nauza Tyres na Rim

INAUZWA Nauza Tyres na Rim

Wakuu salama,

Nauza tyres4 mpya kabisa zina muda wa miezi 3 na rim zake mpya kabisaa. Tyres ni Goodyear ni imara sana. Ukitaka tyre peke yake nitakuuzia na rim pia. Tyre size ni 215/45/R17 na rim ni size 17. Karibuni pm kwa biashara nipo DSM, mkoani natuma[emoji3]
Bei gani? Weka bei ili nikija PM tusipoteze muda.
 
IMG_5602.jpg

Kwamba mmeshindwa kufika bei? Rim inanata sana hio asee[emoji119][emoji119]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
bei yako kubwa sana mkuu,size 15 tairi ukilia mpya around 110 unapata,ss ww moja unauza 150.
Rim zte nne, around 400 had 300 unapata.
jitafakar na bei yako
 
Nishauza tayr wanaojua tairi na rim hawachelewi, mkuu au unataka haya ma rim?
7534d3e6-a6cd-428d-9309-5aa53104bb46.jpg
 
bei yako kubwa sana mkuu,size 15 tairi ukilia mpya around 110 unapata,ss ww moja unauza 150.
Rim zte nne, around 400 had 300 unapata.
jitafakar na bei yako

Nakupa 700k kalete Rim kama hio hata za kichina unapata kwa 450-500k hio rim ni OG msumari huo, tair Goodyear bro[emoji28]
 
Wakuu salama,

Nauza tyres4 mpya kabisa zina muda wa miezi 3 na rim zake mpya kabisaa. Tyres ni Goodyear ni imara sana. Ukitaka tyre peke yake nitakuuzia na rim pia. Tyre size ni 215/45/R17 na rim ni size 17. Karibuni pm kwa biashara nipo DSM, mkoani natuma[emoji3]

Tyres 600,000/=
Rim. 500,000/=

Mazungumzo mengine inbox [emoji392]
Hii size uliyotaja/namba ni sahihi kweli? embu cheki upya....
 
Mkuu kama unauza ist wewe uza nazo bei ongezea juu kwa juu
 
Back
Top Bottom