Nauza vifaranga vya bundi...

Nauza vifaranga vya bundi...

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
Nauza vifaranga vya bundi...

Vina mwezi mmoja, havihitaji chanjo maana jamii hii ya bundi haishambuliwi sana na magonjwa...

Napatikana sumbawanga, Nakuletea popote usafiri juu Yangu
IMG-20180712-WA0005.jpg
 
Nami nauza vitoto vya simba, vina mwezi na wiki. Leo mchana nitakuwa Sabasaba kuanzia saa sita mpaka kufungwa. Nauza shilingi milioni 2 kwa kila mmoja. Nina madume 4 na jike 1.
170117-wildlife-waystation-01.jpg
 
Back
Top Bottom