Nauza vitu mbalimbali

Nauza vitu mbalimbali

Me niemevutiwa na maneno yako ya ushawishi wa utani 😄
Karibu sana , Jamani mimi sio winga na mwezi ujao nitakuwepo Tabora na Mwanza kutembelea Ofisi kwa Ofisi .
Watu wa Tabora na Kwanza naomba msave namba yangu hii ni ya Whatssap pia kama Nizar
0675383292
0685237039
 
Mkuu uwe na amani, mwanaume mwenzetu amesema ana njaa, sisi wajibu wetu ni kumuungisha biashara yake ili afanikiwe na awasaidie wanaomtegemea.

Njaa haimaanishi kukosa chakula ila ni majukumu, mipango na malengo aliyonayo.
Wewe jamaaa NAOMBA usave namba yangu alati uje Whatsapp na screenshot ya ujumbe huuu.🙏
 
Karibu sana , Jamani mimi sio winga na mwezi ujao nitakuwepo Tabora na Mwanza kutembelea Ofisi kwa Ofisi .
Watu wa Tabora na Kwanza naomba msave namba yangu hii ni ya Whatssap pia kama Nizar
0675383292
0685237039
Mkuu huna li TV likubwa kama Hisense nch 58 ninunue chap
 
Duh haya sory sana kama nimekukwaza kwa hilo swali langu nililomuuliza
Usijali kaka ,mimi mwenzio winga ila kwenye Duka la baba yangu Mzazi .
Shida WATOTO wengi ambao kwao Angalabu anacho huwa hawawezi kufanya hichi .Ila mimi napenda Jamani.
Naamini nikimaliza Chuo tutaonana Dubai
 
Safi, hongera endelea kupambana. vipi unaweza nutafutia ipad nzuri hata used kwa lk2?
 
IMG-20240730-WA0025.jpg

Hii ni HP 3G
RAM 8GB
STORAGE SSD 256GB
DISPLAY 13"
PORTABLE
PROCESSOR 2.4-2.5 GHZ
AGIZA KWA 430K
 
Back
Top Bottom