Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Ndiyo ununue SASA maana mdomo Hadi kimaraWewe siyo kwamba unataka kuhama bali una pigia promo biashara yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ununue SASA maana mdomo Hadi kimaraWewe siyo kwamba unataka kuhama bali una pigia promo biashara yako
Mkuu haijalishi jamaa ni winga, wingu au wanga! Kama una uhitaji na pesa nunua au kama vipi kula kwa macho wenye fedha tutanunua. Kauli yako ya kichawi. Samahani lakini.wewe sio winga kweli mkuu
Duh haya sory sana kama nimekukwaza kwa hilo swali langu nililomuulizaMkuu haijalishi jamaa ni winga, wingu au wanga! Kama una uhitaji na pesa nunua au kama vipi kula kwa macho wenye fedha tutanunua. Kauli yako ya kichawi. Samahani lakini.
Mkuu uwe na amani, mwanaume mwenzetu amesema ana njaa, sisi wajibu wetu ni kumuungisha biashara yake ili afanikiwe na awasaidie wanaomtegemea.Duh haya sory sana kama nimekukwaza kwa hilo swali langu nililomuuliza
Karibu sana , Jamani mimi sio winga na mwezi ujao nitakuwepo Tabora na Mwanza kutembelea Ofisi kwa Ofisi .Me niemevutiwa na maneno yako ya ushawishi wa utani 😄
Wewe jamaaa NAOMBA usave namba yangu alati uje Whatsapp na screenshot ya ujumbe huuu.🙏Mkuu uwe na amani, mwanaume mwenzetu amesema ana njaa, sisi wajibu wetu ni kumuungisha biashara yake ili afanikiwe na awasaidie wanaomtegemea.
Njaa haimaanishi kukosa chakula ila ni majukumu, mipango na malengo aliyonayo.
Mkuu huna li TV likubwa kama Hisense nch 58 ninunue chapKaribu sana , Jamani mimi sio winga na mwezi ujao nitakuwepo Tabora na Mwanza kutembelea Ofisi kwa Ofisi .
Watu wa Tabora na Kwanza naomba msave namba yangu hii ni ya Whatssap pia kama Nizar
0675383292
0685237039
Usijali kaka ,mimi mwenzio winga ila kwenye Duka la baba yangu Mzazi .Duh haya sory sana kama nimekukwaza kwa hilo swali langu nililomuuliza
Mkuu usiwaze kuna bidhaa zako nimezielewa hapo tutafanya biashara. Kwenye screenshot na kutuma hapo ni ngumu kwangu ila ni for good.Wewe jamaaa NAOMBA usave namba yangu alati uje Whatsapp na screenshot ya ujumbe huuu.🙏
Safi, hongera endelea kupambana. vipi unaweza nutafutia ipad nzuri hata used kwa lk2?Usijali kaka ,mimi mwenzio winga ila kwenye Duka la baba yangu Mzazi .
Shida WATOTO wengi ambao kwao Angalabu anacho huwa hawawezi kufanya hichi .Ila mimi napenda Jamani.
Naamini nikimaliza Chuo tutaonana Dubai