KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO TANESCO UPANDE WA KWENDA BONYOKWA DAKIKA 7 KUTOKA MOROGORO ROAD
UKUBWA SQM 1008.5
NDANI YA ENEO KUNA NYUMBA YA VYUMBA VINNE NA NAFASI YA KUTOSHA.
DOCUMENTS ZOTE ZIPO
lINAUZWA MLN 58.
PIGA SIMU 0675 065906 OR WATSAAP
Hizo dk 7 ni mwendo wa Kutembea kwa miguu sio boda boda Wala gariwith vivid of examples, explain how you estimated the distance .............. Au basi[emoji119][emoji2]
Yaani Kwa kifupi umekadiriaje hapo ni dakika 7 ni Kwa miguu ,gari ,pikipiki au....?
Ha ha ha ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] ila wabongo wanamikwara. Yaani hapo nimekuvutia picha kama afisa fulani hivi ana kama milioni mia tano kwenye account so hii ni issue ndogo sana kwake na anaweza ihandle bila shida ila amekerwa na tangazo kutokuwa clear.Sema kama kina hati au hakina.
Documents zote zipo ndio nini, risiti za DAWASA na LUKU ?
Mkuu una mikwaraSema kama kina hati au hakina.
Documents zote zipo ndio nini, risiti za DAWASA na LUKU ?
Umbali siku hizi unapimwa kwa dakika sio mita au kilomita tena?KIWANJA KINAUZWA KIMARA MWISHO TANESCO UPANDE WA KWENDA BONYOKWA DAKIKA 7 KUTOKA MOROGORO ROAD
UKUBWA SQM 1008.5
NDANI YA ENEO KUNA NYUMBA YA VYUMBA VINNE NA NAFASI YA KUTOSHA.
DOCUMENTS ZOTE ZIPO
lINAUZWA MLN 58.
PIGA SIMU 0675 065906 OR WATSAAP
Details?Kiwanja kinauzwa Kipo Sala Sala Big Brother
0675065906View attachment 2684121View attachment 2684122View attachment 2684123View attachment 2684125View attachment 2684126
Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kablaUmbali siku hizi unapimwa kwa dakika sio mita au kilomita tena?