Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh kwakweli mambo yanakwenda kasi sana mzee mwenzangu.Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Eneo potential kama madale...umuuzie mtu kwa kigezo Cha documents za serikali ya mtaa tuu?Kiwanja kizuri sana kinauzwa bei poa:
Ukubwa-sqm 750
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 27 maongez
Location- madale kwa mzungu
Umbali- km 1.5 kutoka main road madale mwisho
0675065906View attachment 2684144View attachment 2684145View attachment 2684146
Maoni mazuriEneo potential kama madale...umuuzie mtu kwa kigezo Cha documents za serikali ya mtaa tuu?
Hayo maeneo watu wengi wameku waoga kununua kutokana na kuwa na kesi nyingi za utapeli
Hicho kiwanja kingetafutiwa hati miliki ya wizarani kwanza ...
Unaweza ukacheki video hizoNYUMBA INAUZWA KIBAHA KWA MFIPA
IPO DK 1 KUTOKA LAMI MOROGORO ROAD
INA VYUMBA 3 KIMOJA MASTER,
INA PUBLIC TOILET, SITTING,DINING &KITCHEN NA PARKING YA GARI NJE
INA FENCE YA UKUTA NA GETI ZURI
BEI MLN 55,HATI IPO
0675065906View attachment 2686707View attachment 2686708View attachment 2686709View attachment 2686710View attachment 2686711View attachment 2686712View attachment 2686715View attachment 2686716
Acheni ujuaji hata humu barabarani tunamotembea huwa tunauliza "unaweza kutumia dakika ngapi kufika? hatuulizi kilomita wala mita kama hamna cha kuchangia kaa kimyaItakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Sasa dakika ngapi kwa miguu, gari, pikipiki, bajaji, kutembea polepole, haraka haraka au kukimbia?Acheni ujuaji hata humu barabarani tunamotembea huwa tunauliza "unaweza kutumia dakika ngapi kufika? hatuulizi kilomita wala mita kama hamna cha kuchangia kaa kimya
Ukute kwa mvivu kama mm dk 20Umbali siku hizi unapimwa kwa dakika sio mita au kilomita tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukute kwa mvivu kama mm dk 20