Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Sasa mbona usalama wa mteja utakua mdogo, coz hati miliki ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kulinda umiliki wa Mtu ,
Haya maeneo Bado hayajapimwa hivyo kama unashaka unakuja na serveyor wako anachek kabla hujanunua
 
Kiwanja Kinauzwa Kipo Kibamba KIBWEGERE Ukubwa 20×20
Kinauzwa bei Chee sana Mln 5
Maongezi kidogo yapo
Kimezungukwa na Makazi ya Watu
Mtaa uliojengeka Nyumba za kisasa
0675 065906
Screenshot_20230824-075452.jpg
 
NUNUA KIWANJA KWA BEI CHEE
MBEZI MSAKUZI MAKABE 18×22 KIWANJA KINA NYUMBA KUU KUU YA VYUMBA 3 BEI MLN 20
KILUVYA GOGONI 22×25 BEI MLN 9
KILUVYA KWA KOMBA 20×20 MLN 6
KILUVYA KWA SUMAYE 40×40MLN 18
KILUVYA KWA SUMAYE 20×20 BEI MLN 6
VIWANJA VYOTE UMEME NA MAJI YAPO JIRANI
0675 065906
IMG-20230820-WA0008.jpg
 
Kiwanja Kinauzwa Mbezi Kwa Msuguli Bwaloni
Umbali ni km 1 kutoka Morogoro Road ni barabara ile yenye zege hufiki mwisho wa zege
Kina Mita 50× 25 (SQM 1250)
Kiwanja Kipo tambarare Kinatazamana na Barabara ya Mtaa na kina mawe
Kipo kwenye neighbour hood Iliyostarabika
Bei mln 40 Maongezi yapo
0675 065906
IMG-20230820-WA0002.jpg
 
Nyumba inauzwa mbezi msakuzi bei milioni 70

Nyumba inavyumba 4

Kimojawapo ni master
Inasebule kubwa
Daining safi
Public toilet safi
Store kubwa
[emoji1426]
Eneo lake mita 20 kwa 25
Sawa na SQMITA 500

Nyumba ipo Mtaa Mzuri sana
Karibu na barabara ya mtaa


Karibu 0675 065906
IMG-20230917-WA0016.jpg
IMG-20230917-WA0014.jpg
IMG-20230917-WA0017.jpg
IMG-20230916-WA0020.jpg
IMG-20230916-WA0022.jpg
IMG-20230917-WA0008.jpg
IMG-20230917-WA0010.jpg
IMG-20230917-WA0006.jpg
 
NYUMBA KALI SANA INAUZWA #MPYAA MBEZI MSAKUZI

====
Vyumba 4 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa nzuri jiko kubwa na public toilet

====

Ukubwa wa eneo SQM 750

Ipo ndani ya fence
====

Bei: Mil. 85 #Maongezi yapo

====

Huduma zote za kijamii zipo, na mtaa nikwa kishua kabisa

===

Kupelekwa kuona nyumba hii ya kununua 20,000/=

====
Call/Sms/Whatsapp 0675 065906
IMG-20230917-WA0025.jpg
IMG-20230917-WA0028.jpg
IMG-20230917-WA0027.jpg
IMG-20230917-WA0022.jpg
IMG-20230917-WA0024.jpg
IMG-20230917-WA0023.jpg
 

Attachments

  • VID-20230917-WA0031.mp4
    15.3 MB
HABARI ZA LEO MEMBERS

PAGALA HILI LINAUZWA BEI CHEE SANA KIMBIA CHAP ULICHUKUE 15M TU.
HAKUNA MAZUNGUMZO.
LINA VYUMBA VITATU,VIWILI MASTER, SEBULE,DINNING,JIKO,STORE NA PUBLIC TOILET.
UKUBWA WA UWANJA SQUARE METRE 400.
LIPO KILUVYA .
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI METRE 200 TU.
0675 065906
IMG-20230918-WA0013.jpg
IMG-20230918-WA0006.jpg
IMG-20230918-WA0013.jpg
IMG-20230918-WA0007.jpg
IMG-20230918-WA0014.jpg
IMG-20230918-WA0012.jpg
 
VIWANJA VINAUZWA MBEZI KWA MSUGULI
KUNA 30x40 MLN 33
KUNA 25×40 MLN 30
KUNA 20×20 MLN 12
VIWANJA VYOTE MAONGEZI YAPO
MIUNDOMBINU YA BARABARA ,UMEME NA MAJI YAPO.
0675 065906
1695117391738.jpg
1695117397351.jpg
 
Kuna dalali mmoja alitupeleka sehemu na kutaja bei yake.
Tukamkuta mhusika pale si akataja bei pungufu kwa asilimia 20, ikabidi tufate ya mwenyeji dalali akakosa kwa tamaa zake, akaishia pewa 20,000
 
Kuna dalali mmoja alitupeleka sehemu na kutaja bei yake.
Tukamkuta mhusika pale si akataja bei pungufu kwa asilimia 20, ikabidi tufate ya mwenyeji dalali akakosa kwa tamaa zake, akaishia pewa 20,000
Kwani anaemlipa dalali ni mwenye Eneo au Mteja?
 
INAUZWA KIMARA SUCA GOLAN YENYE SIFA HIZI

VYUMBA VI 3 KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA,JIKO NA CHOO PUBLIC

UKUBWA KIWANJA 15X20**** NYUMBA IKO UMBALI WA KM 2.5 TOKA MORO ROAD###

UDUMA ZA MAJI NA UMEME ZIPO
HATI NI SALES AGREEMENT
BEI ML 27 MAONGEZI KIDOGO
0675065906
IMG-20230919-WA0010.jpg
IMG-20230919-WA0009.jpg
IMG-20230919-WA0012.jpg
IMG-20230919-WA0014.jpg
IMG-20230919-WA0017.jpg
IMG-20230919-WA0006.jpg
IMG-20230919-WA0002.jpg
 
Nyumba inauzwa mbezi maramba bei ml. 35

Inavyumba 3 kimoja master
Sebule
Daining
Jiko
Public toilet [emoji1303]

Ukubwa wa eneo mita 25 kwa 23
Tambarare
Mteja wahi Chap uchukue nyumba hii
0675065906
IMG-20230920-WA0004.jpg
IMG-20230920-WA0005.jpg
IMG-20230920-WA0010.jpg
IMG-20230920-WA0007.jpg
 
Kiwanja kizuri sana Tambalale Kinauzwa milioni 16 maongezi yapo Kipo Mbezi Makabe msakuzi ukubwa wa kiwanja ni sqmt 600 = 20x30 Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa) Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua
◇Maji safi dawasco umeme vyote vipo bara bara nzuri majirani wazuri mtaa umejengeka vyema sana

0675 065906
IMG-20230923-WA0003.jpg
IMG-20230923-WA0010.jpg
IMG-20230923-WA0004.jpg
IMG-20230923-WA0009.jpg
IMG-20230923-WA0008.jpg
IMG-20230923-WA0000.jpg
 
Lodge inauzwa Kibaha LOLIONDO
[emoji3586]Ina Vyumba 22 zote zina Self Contained,TV na AC
[emoji3586]Ina Ukumbi wa Sherehe Mkubwa
Na Ukumbi wa Mikutano
[emoji3586]Ina Sehemu ya Gym
[emoji3586]Ina Ofisi na Servant Quarter
[emoji3586]Ina bar na Ukumbi wa Bar mkubwa
[emoji3586]Ina Visima vya Maji na Generator
[emoji3586]Eneo lote Lina ukubwa wa Ekari 1 na limezungushiwa fence
Bei Mln 250 Maongezi yapo.
0675065906
Video yake ipo
1695902233732.jpg
 
[emoji91]OFA OFA OFA[emoji91]
[emoji1630]NJOO UJIPATIE KIWANJA MBEZI LUGURUNI KWA SH. MILIONI 15 TU
UKUBWA 20×20
VIPO UMBALI WA KM 2 KUTOKA
LAMI MOROGORO ROAD
[emoji1630]BARABARA,MAJI NA UMEME VIPO MPAKA SITE

[emoji3513] 0675 065906
[emoji1630]KUPELEKWA SITE 20,000/=
1698402088894.jpg
1698402079453.jpg
1698402073973.jpg
 

Attachments

  • 1698402088894.jpg
    1698402088894.jpg
    63.5 KB · Views: 26
VIWANJA VINAUZWA UMBALI NI KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.

[emoji3586] KILUVYA GOGONI 25x22 MLN 9
[emoji3586]KILUVYA KWA KOMBA 20x20 MLN 7
[emoji3586]VIWANJA VYOTE VIPO MITAA ILIYOCHANGAMKA
[emoji3586]BARABARA ZINAFIKA MPAKA SITE
UMEME NA MAJI YAPO

0675065906
GHARAMA KUPELEKWA SITE NI ELFU 20,000.
IMG-20231016-WA0007.jpg
 
PAGALA HILI LINAUZWA BEI NAFUU SANA KIMBIA CHAP ULICHUKUE 11M TU,PUNGUZO KIDOGO LIPO
LINA VYUMBA VITATU,VIWILI MASTER, SEBULE,DINNING,JIKO,STORE NA PUBLIC TOILET.
UKUBWA WA UWANJA SQUARE METRE 400.
LIPO KILUVYA KWA KOMBA
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1 UNATEMBEA KWA MIGUU
0675 065906
KUPELEKWA SITE 20,000
IMG-20231014-WA0007_2.jpg
 
OFA!OFA ! KIWANJA KINAUZWA KILUVYA KWA KOMBA
[emoji3586]UKUBWA 20×40 BEI MLN 13
KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1
[emoji3586]KIWANJA KIPO TAMBARARE NA SEHEMU ILIYOCHANGAMKA
[emoji3586] UMEME,MAJI NA BARABARA NI MPAKA SITE
0675065906
IMG_20230808_114633_875.jpg
 
Back
Top Bottom