Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Kiwanja kipo Kimara Temboni
Barabara ya kwenda Matosa
Ukubwa ni square meter 1,200
Bei ni sh. 90,000,000/= (Milioni tisini) Maongezi yapo kwa mteja serious
Kipo jirani na Kanisa katoliki st.Monica
Kiwanja kina Hati ya Wizara(TITTLE DEED)
Kipo sehemu nzuri sio bondeni
Kinapakana na barabara ya mtaa
0675 065906.
 
Kipo kiluvya kwa komba
Kiwanja kina sifa zifuatazo

✅️Kina Ukubwa wa 20×52~sqm 1040
✅️kipo umbali wa km 1.2 kutoka lami(morogoro road)
✅️Kipo tambarare
✅️Kipo mtaa mzuri uliojengeka
✅️Barabara inafika mpaka site
Bei yake ni mln 14 tu
0675 065906
 
Attachments

  • 1718782117634.jpg
    1718782117634.jpg
    362.4 KB · Views: 6
Kazi kazi
Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML

Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru kina faa kujenga Sheli Tsh50ML

Nina kiwanja maeneo ya Tabata Majichumvi 20x20 kizuri Sana Tsh30ML Nikiwanja Cha pili kutoka Barabara ya zege
0675 065906
 
Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Waswahili hawajui vipimo vya mita wala kilomita wewe ukimwaambia unatembea dakika kumi ndiyo watajua ni umbali kiasi kwasababu wanapima kwa umbali wanapotoka Nyumba kwenda kupanda gari kwenda kazini.
 
Kazi kazi
Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML

Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru kina faa kujenga Sheli Tsh50ML

Nina kiwanja maeneo ya Tabata Majichumvi 20x20 kizuri Sana Tsh30ML Nikiwanja Cha pili kutoka Barabara ya zege
0675 065906

Natafuta kiwanja chenye hati maeneo ya Maji Chumvi. Unacho??
 
Kipo kiluvya kwa komba
Kiwanja kina sifa zifuatazo

✅️Kina Ukubwa wa 20×52~sqm 1040
✅️kipo umbali wa km 1.2 kutoka lami(morogoro road)
✅️Kipo tambarare
✅️Kipo mtaa mzuri uliojengeka
✅️Barabara inafika mpaka site
Bei yake ni mln 14 tu
0675 065906
hiki kipo bado? kimepimwa?
 
Back
Top Bottom