Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Mazungumzo unafanya na mwenyewe
Sio kila tajiri ana muda wa kutafuta wateja wa kuwauzia mali yake
Kazi yangu ni kutangaza biashara ukiipenda unakaa mezani na muuzaji mnamalizana
Nimekupa hioo juu pqmbqna nayo iko na jumba alijamalizikaa
 
Kiwanja kinauzwa Kimara Mwisho
Njia ya kwenda King'ong'o
Kina SQM 1900[ 38 x 50 ]
Kipo sehemu nzuri sana
Bei milioni 75 Maongezi yapo
0675 065906
 

Attachments

  • IMG-20240613-WA0018.jpg
    IMG-20240613-WA0018.jpg
    227.2 KB · Views: 5
  • IMG-20240613-WA0017.jpg
    IMG-20240613-WA0017.jpg
    232.6 KB · Views: 4
  • IMG-20240613-WA0020.jpg
    IMG-20240613-WA0020.jpg
    188 KB · Views: 5
  • IMG-20240613-WA0022.jpg
    IMG-20240613-WA0022.jpg
    191.8 KB · Views: 4
  • IMG-20240613-WA0021.jpg
    IMG-20240613-WA0021.jpg
    177.4 KB · Views: 5
Sasa shida iko wapi kaka? mi mwenyewe dalali nilitaka nipandilie hii kazi
Kama wewe ni dalali ungeniomba tu idhini ya kuleta mteja ila maneno yako ulioandika hayana nia njema rejea comment yako uone ina tija kwenye tangazo langu au ni wivu unakusumbua tu
 
Kiwanja kinauzwa kiluvya Madukani

Kina ukubwa wa sqm 800

Kinapakana na barabara ya mtaa

Unaweza jenga nyumba na mbele ukaweka fremu za biashara

KIpo mita 300 tu kutoka morogoro road...unaiona lami

kipo sehemu tambarare mtaa mzuri sana

Bei yake mln 22 maongezi kidogo

yapo

0675 065906
 
Nauza eneo madale, ekari kumi, 1bn, mazungumzo yapo! (MADALE)
INBOX FOR SERIOUS BUYER!
 
Back
Top Bottom