Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Ni eneo la biashara linauzwa.
Lina frem za maduka 12.
Lina Apartments, 4 zenye chumba.
Self na sebule kila moja
Lipo kibaha Misugusugu Pwani.
Bei yake ni milioni 90.
Umiliki hati ya Wizara.

Karibu sana tajiri
Mawasiliano: 0675 065906

1717486690126.jpg
1717486687255.jpg
1717486698979.jpg
 
Sio kuweza au kuto weza!! Changamoto na usalama wa milioni 25 tu.
Sio sababu kama ni mnunuaji kweli huwezi kushindwa kupita kila panapohitajika kwaajili ya kupata kibali cha kumiliki eneo.
 
Kiwanja kipo Kimara Temboni
Barabara ya kwenda Matosa
Ukubwa ni square meter 1,200
Bei ni sh. 90,000,000/= (Milioni tisini tu) Maongezi yapo kwa mteja serious
Kipo jirani na Kanisa katoliki st.Monica
Kiwanja kina Hati ya Wizara(TITTLE DEED)
Kipo sehemu nzuri sio bondeni
Kinapakana na barabara ya mtaa
0675 065906.
 

Attachments

  • 20240610_135503.jpg
    20240610_135503.jpg
    3.4 MB · Views: 7
  • 20240610_135444.jpg
    20240610_135444.jpg
    3.5 MB · Views: 6
  • 20240610_135250.jpg
    20240610_135250.jpg
    3 MB · Views: 6
Kiwanja kipo Kimara Temboni
barabara ya kwenda Matosa
Ukubwa ni square meter 1,200
Bei ni sh. 100,000,000/= (Milioni mia moja) Maongezi yapo kwa mteja serious
Kipo jirani na Kanisa katoliki st.Monica
Kiwanja kina Hati ya Wizara(TITTLE DEED)
Kipo sehemu nzuri sio bondeni
Kinapakana na barabara ya mtaa
0675 065906.
100m kwa nusu heka, sehemu ni kimara temboni mmh madalali mna kazi
 
Hizi bei hiZ
Mkuu naletaga hapa viwanja vya bei nafuu watu wanakausha kama hawavioni visingizio vyao wanataka hati ya vizara sasa Leo nimeshusha mzigo wenye hiyo hati lakini bado kelele haziishi.
 
kipo cha mbweni sqrmtr 1300 mil 120
Masite dk 5 toka barabaarani
cont 0713458722
 
Mazungumzo unafanya na mwenyewe
Sio kila tajiri ana muda wa kutafuta wateja wa kuwauzia mali yake
Kazi yangu ni kutangaza biashara ukiipenda unakaa mezani na muuzaji mnamalizana
 
Back
Top Bottom