Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

Kiwanja kinauzwa Kimara mwisho Millenia
Ni mkono wa kushoto ukiwa unatoka ubungo
Kiwanja kina mita 20×16, kipo sehemu tambarare. Kinapakana barabara ya mtaa. Unaweza kujenga fremu za biashara. Bei mln 14 maongezi kidogo yapo
Hati iliyopo ni ya serikali za mitaa
0675 065906.

1716870656369.jpg
1716870646464.jpg
 
Kiwanja kinauzwa Kimara mwisho Millenia
Ni mkono wa kushoto ukiwa unatoka ubungo
Kiwanja kina mita 20×16, kipo sehemu tambarare. Kinapakana barabara ya mtaa. Unaweza kujenga fremu za biashara. Bei mln 14 maongezi kidogo yapo
Hati iliyopo ni ya serikali za mitaa
0675 065906.

View attachment 3001356View attachment 3001357
nikiishaona dalali anasema hati iliyopo ni ya serikali za mtaa naona ni kichwan hamna kitu, hakuna kitu kinaitwa hati ya serikali za mitaa, hati zote zinatoka ardhi sasa iyo ya serikali za mitaa sio hati ni squater
 
Sawa Mkuu wewe ambae kichwani zipo sawa mind your own bussiness cha muhimu ushaelewa basi imetosha.
 
nikiishaona dalali anasema hati iliyopo ni ya serikali za mtaa naona ni kichwan hamna kitu, hakuna kitu kinaitwa hati ya serikali za mitaa, hati zote zinatoka ardhi sasa iyo ya serikali za mitaa sio hati ni squater
Angesema haki miliki sio hati, kwamba umiliki wa eneo unatambulika na serikali ya mtaa na maeneo yote yanayo zunguka yanatambulika vilevile....ila nimemuelewa
 
Angesema haki miliki sio hati, kwamba umiliki wa eneo unatambulika na serikali ya mtaa na maeneo yote yanayo zunguka yanatambulika vilevile....ila nimemuelewa
Shukrani ndugu umenena kwa busara
 
Shukrani ndugu umenena kwa busara
Pamoja chifu hizi hapa aina za haki miliki.
1. Hati miliki (title deed): hapa eneo limepimwa kabisa.

2. Barua ya Ofa: document ya kusubiri hati miliki. Eneo wanaita lina ofa.

3.Leseni ya makazi...hutolewa na wizara ya ardhi na maeneo hurasimishwa yawe na makazi.

4. Eneo kutambulika na Serikali ya mtaa....

5.Hati ya kimila: hii ni hati ya asili kwa wazawa....kule kwetu uchaggani kuna sehemu wanatumia hii njia, kuuziwa eneo mpaka ndugu wote wajue na wajue kwani nini unauza 😅😅😅😅

Serikali na sheria zinatambua huo umiliki.
 
Tangu lini Serikali ya Mtaa ikatoa Hati??hiyo Hati ya Serikali ya Mtaa inasainiwa na nani??Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa,Katibu au nani??kwa ninavyofahamu Hati hutolewa na Wizara na husainiwa na Kamishna wa Ardhi
Eneo kutambulika na Serikali ya Mtaa haimaanishi kwamba ni Hati Miliki.Na kimsingi kuprocess Hati siku hizi hata hakuna mizunguko mingi,ni vema kuuza na kununua kiwanja kilicho na Hati Miliki ya Wizara tena baada ya kujiridhisha Wizarani ili kuepuka migogoro isiyo na lazima
 
Pamoja chifu hizi hapa aina za haki miliki.
1. Hati miliki (title deed): hapa eneo limepimwa kabisa.

2. Barua ya Ofa: document ya kusubiri hati miliki. Eneo wanaita lina ofa.

3.Leseni ya makazi...hutolewa na wizara ya ardhi na maeneo hurasimishwa yawe na makazi.

4. Eneo kutambulika na Serikali ya mtaa....

5.Hati ya kimila: hii ni hati ya asili kwa wazawa....kule kwetu uchaggani kuna sehemu wanatumia hii njia, kuuziwa eneo mpaka ndugu wote wajue na wajue kwani nini unauza 😅😅😅😅

Serikali na sheria zinatambua huo umiliki.
Hati ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kwenye sheria ya ardhi kama ardhi hiyo sio mali ya kijiji/mtaa. Tukiuziana mimi na wewe mbele ya mashahidi ni mkataba tosha kabisa, hakuna hata haja ya hilo li karatasi la serikali ya mtaa
 
Mnanunua kiwanja au ndio mnataka kushindana aliyeandika hati. Kiwanja chenu?
Mafakz😡
 
Hati ya serikali ya mtaa haina nguvu yoyote kwenye sheria ya ardhi kama ardhi hiyo sio mali ya kijiji/mtaa. Tukiuziana mimi na wewe mbele ya mashahidi ni mkataba tosha kabisa, hakuna hata haja ya hilo li karatasi la serikali ya mtaa
Ndiyo mkuu eneo likiwa linatambulika na serikali ya mtaa mauziano yanaweza kuafikiwa na kushuhudiwa na watu kadhaa na kufahamika kama eneo liliuzwa kwa makubaliano ya mkataba.....bado inakubalika ni sawa.
 
KIWANJA KINAUZWA BINAFSI
LOC: KIBAHA LOLIONDO PANGANI AREA
UKUBWA: ~ Heka 1
PRICE : Milioni 25 maongezi kidogo yapo
UMILIKI: Mkataba wa mauziano wa Serikali za mitaa
SIFA: Panafaa kwa Kukata viwanja, makazi na ufugaji

1717222760586.jpg
 
KIWANJA KINAUZWA BINAFSI
LOC: KIBAHA KWA MFIPA SIMBANI
JIRANI NA TAASISI MAMA ANNA MKAPA
UKUBWA: ~ Heka 1
PRICE : Milioni 20
UMILIKI: Mkataba wa mauziano wa serikali za mitaa
SIFA : Panafaa kwa Kukata viwanja,makazi na uwekezaji
 
Attachments

  • VID-20240524-WA0004.mp4
    3.5 MB
Milioni 25 kwa mkataba/ na si HATI YA WIZARANI.

KAZI NI KIPIMO CHA UTU
 
Ofa! Kubwa ya viwanja kiluvya
1. Kiluvya Gogoni
Sqm 1200 ~ mln 40 umbali mita.
400 kutoka morogoro road

2. Sqm 800~mln 18 umbali km 1.5 kutoka morogoro road
3. Kiluvya kwa komba
Sqm 800~mln 14 umbali 1.5km kutoka morogoro road.
Sqm 1200 mln 25 umbali 1.5 km kutoka morogoro road

Nyaraka zilizopo ni sales agreement.
Mawasiliano: 0675 065906
Viwanja vyote vipo mitaa iliyojengeka vizuri.
1717480534318.jpg
1717475924213.jpg
 
Back
Top Bottom