Waswahili hawajui vipimo vya mita wala kilomita wewe ukimwaambia unatembea dakika kumi ndiyo watajua ni umbali kiasi kwasababu wanapima kwa umbali wanapotoka Nyumba kwenda kupanda gari kwenda kazini.Itakua siku hizi mashuleni wamebadili mitaala. Kipimo cha umbali kimepewa muda badala ya mita au kilometer zilizokua zikitumika kabla
Kazi kazi
Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML
Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru kina faa kujenga Sheli Tsh50ML
Nina kiwanja maeneo ya Tabata Majichumvi 20x20 kizuri Sana Tsh30ML Nikiwanja Cha pili kutoka Barabara ya zege
0675 065906
hiki kipo bado? kimepimwa?Kipo kiluvya kwa komba
Kiwanja kina sifa zifuatazo
✅️Kina Ukubwa wa 20×52~sqm 1040
✅️kipo umbali wa km 1.2 kutoka lami(morogoro road)
✅️Kipo tambarare
✅️Kipo mtaa mzuri uliojengeka
✅️Barabara inafika mpaka site
Bei yake ni mln 14 tu
0675 065906