Julisha ni wapi tunaweza papenda huko piaMkuu Vipo vya mln 7 ila sio Goba
kiluvya viwanja vina utapeli sana. Yaani kiwanja kuuzwa mara 2 au zaidi ni kugusa tu.Vipo kiluvya kwa komba vipo umbali wa km 1 tu kutoka morogoro road(vipo ndani ya wilaya ya ubungo)
Asante kwa muongozo huukiluvya viwanja vina utapeli sana. Yaani kiwanja kuuzwa mara 2 au zaidi ni kugusa tu.