Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Heri ya mwaka mpya
.
Karibuni Pagale nalo limevuka mwaka [emoji3]
 
Ungetangaza milioni 7 pagala lisingeona kabisa mwaka mpya
 
OFFER OFFER OFFER

NYUMBA INAUZWA MAGOMENI POPOBAWA TZS. 220m

Mtaa: Popobawa
Ukubwa : 850 Sqm
Documents: HATI

Ni barabarani kama panavyoonekana.

Kwa nyuma ndio kunaungana na lile Pagale kama linavyoonekana kwenye picha

Hapo ni nyumbani kabisa, HUPASUKI.
Bei : TZS. 220m

Piga simu tumalize msg sijibu

Call : 0717 650800
 
Mods mnaniharibia kwa kuunganisha threads, hizi ni biashara tofauti.
.
NOT FAIR
 
Iko 30 metres kutoka Darajani na 3 Kms kutoka Ferry....70 metres kutoka Beach [emoji91][emoji91][emoji91]

Location: Kigamboni Darajani
Area: 850 Sqm
Ina fence
5 bedrooms
Parking Kubwa
Public Toilet
Kitchen
Dining
Documents: Mauziano Serikali ya Mtaa

Price: TZS. 120m

Call: 0717 650800

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…