Plot4Sale Nauza viwanja na nyumba maeneo mbalimbali Dar

Hili deal zuri sana ila Kwa nyakati hizi kabla 150M unaweza pata mteja lakini Kwa hiyo 450M yaani karibu nusu Billion?

Apunguze bei kama kweli yuko serious
Ahsante mkuu.
Mazungumzo ya bei yapo na malipo ya kidogo kidogo/awamu/installment pia yanakubaliwa, karibu sana Chief [emoji1666]
 
Location, location, location!
Barabara ya kwenda hapo na kufika, siyo unamkwepa choo cha mzee Mbonde pale, halafu duka la mkaa limetokeza barabarani, genge la mama Salima!
Hiyo km 3 ikoje?
 
Location, location, location!
Barabara ya kwenda hapo na kufika, siyo unamkwepa choo cha mzee Mbonde pale, halafu duka la mkaa limetokeza barabarani, genge la mama Salima!
Hiyo km 3 ikoje?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha nijinywee gidi hapa kwa Neema.
 
Location, location, location!
Barabara ya kwenda hapo na kufika, siyo unamkwepa choo cha mzee Mbonde pale, halafu duka la mkaa limetokeza barabarani, genge la mama Salima!
Hiyo km 3 ikoje?
Dah [emoji848]
 
Piga simu utoe ofa yako uchukue nyumba ya kisasa na eneo lake kubwa
.
0717 650800
 
Process kwanza hati ndiyo uje ulete tangazo hapa, vinginevyo mmmhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…