Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FactUnauziwa location pia hapo mjini hata hio 120 still ni ndogo.
Mbavu za mbwa buguruni na bangaloo Chanika, mbavu za mbwa lazima iwe juu kuliko bangaloo.
Location ndio utoa thamani ya nyumba na sio aina ya nyumba.
Hapo kwa mfanyabiashara chapu anavuta hio kitu, unajenga guest na bar ukosi faida ya laki moja kwa siku.
Hata kama ni bei haijafika huko,halafu ni kigamboni sasaNyumba na Viwanja sio bei rahisi kama wengi hapa wanavodhani.
Milioni 120 ina maongezi hapo Kigamboni alipopataja ni mjini tayari.
Eneo lina karibu robo ekari 850sqm.
Nyumba ina vyumba vitano.....
Nyie mnataka iuzwe Shilingi ngapi???? Japo kuwa 120mil. Ni kubwa