INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Joined
Jul 22, 2020
Posts
89
Reaction score
94
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719View attachment 1514947View attachment 1514948View attachment 1514949
FB_IMG_1593621746053.jpg
 
😂 Kwamba Mkuu amepiga picha za pembeni nyumba haionekani ni uchochoro tu ndo unaonekana HD 🤣🤦🤪😳🏃
Huyu bwana cholo boy ndi zake. Anatupia picha za mbavuni tu moja halafu.
 
Mbona unaandika Tangazo as if we kibaka tu. Kuwa serious basi mzee.
 
Zipo Mjimwema mtaa wa Ungindoni Moja Ina vyumba vitatu na yapili Ina vyumba viwili zote Zina Master.

Mmoja moja sitting room dining room jiko na public toilet zipo location nzuri

Sina Bei ml 130 maongezi yapo kidogo nicheki
0713672719

0787672719

FB_IMG_1596971545113.jpg
IMG-20200809-WA0108.jpg
IMG-20200809-WA0109.jpg
IMG-20200809-WA0104.jpg
 
Nyumba nzuri, ila kila nikiona tangazo la nyumba kuuzwa naanza kucheck ID. Bado ule mzimu wa kuongeza 300M kwenye biashara ya gas station ya Mbagala unakuandama mkuu. Its' either ubadili ID au utolee ufafanuzi mkuu.
 
😂😂😂😂😂
 
Ungindoni ndo kule kwenye tope na maji au...kwa uzui ni kuzur sana tatzo ni hilo hapo juu...samahan mtoa post
 
Back
Top Bottom