INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Nyumba nzuri, ila kila nikiona tangazo la nyumba kuuzwa naanza kucheck ID. Bado ule mzimu wa kuongeza 300M kwenye biashara ya gas station ya Mbagala unakuandama mkuu. Its' either ubadili ID au utolee ufafanuzi mkuu.
Hahah

Mama Debora alimnyoosha sana huyu mwamba
 
Dah mil 130 ,,,,kweli nimeamini maisha yananifokea
 
Lipo Gezaulole kigamboni Lina ukubwa
Wa sqm 7540 sawa na heka mbili kaoro
Linafaa kwa sheli yadi au lite industry
Lina hati miliki kwa Sasa matumizi ni
Commercial Bei ml 400 nicheki
0713672719
/0787672719

IMG_20201005_143552.jpg
IMG_20201005_143547.jpg
IMG-20200914-WA0223.jpg
 
Nyumba imeshuka Bei ipo Chanika Mwisho
Mtaa wa lubakaya Ina chumba kimoja kikubwa
Futi 19 master na public toilet mbele Ina frem tatu za biashara kiwanja kina mita 20/15 Bei ml 12.5 ofa inasikilizwa nicheki
0713672719
0787672719



IMG-20201019-WA0234.jpg
IMG-20201019-WA0242.jpg
IMG-20201019-WA0241.jpg
wisho
 
Ipo Gezaulole kigamboni mita 150 ipo hospital ya wilaya kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room dining room jiko na public toilet Ina vyumba viwili mbele kwa ajili ya maduka na pia Ina Kota.

Ya vyumba viwili Master Bei ml 150 maongezi yapo nicheki 0713672719/ 0787672719

IMG_20201208_164300.jpg
IMG-20201208-WA0002.jpg
IMG_20201208_164732.jpg
IMG-20201208-WA0008.jpg
IMG-20201208-WA0007.jpg
 
Back
Top Bottom