Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi rangi zimenifanya nirudie tena kusoma location, nkadhan iko mbagala chamanziIpo Gezaulole kigamboni mita 150 ipo hospital ya wilaya kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room dining room jiko na public toilet Ina vyumba viwili mbele kwa ajili ya maduka na pia Ina Kota.
Ya vyumba viwili Master Bei ml 150 maongezi yapo nicheki 0713672719/ 0787672719
View attachment 1671724View attachment 1671725View attachment 1671726View attachment 1671727View attachment 1671728
OP ni dalaliWewe utaishi wapi? Nashauri ikamilishe uishi chini chumba cha huu pangisha hata kwa laki maisha yataenda
Asante kwa ushauliWewe utaishi wapi? Nashauri ikamilishe uishi chini chumba cha huu pangisha hata kwa laki maisha yataenda
Sio yake mkuu,ni dalali.Ni nzuri ila kwa hiyo hela at least ingekuwa imekamilika, hapo utapata hela ndogo. Tafuta hela upige rangi na hapo nje weka pavings na kigarden cha kimtindo, utauza fasta tena bei nzuri.
Mtu hawezi kutoa zaidi ya mil 150 halafu bado aje kupambana na mafundi, anatakiwa ahamie tu.
Ha haa! Ya nini mkuu?Mkuu upo tayari nije na drill machine?
Nakubaliana nawe kwamba siku hizi kusomesha na kusema eti umemuachia urithi mtoto ni kujidanganya. Lazima umuachie mijengo plus elimuMkuu nakushauri usiuze hiyo nyumba komaa tu uimalize au uhamie hivyo hivyo. Najua uenda una matatizo unahitaji pesa ila komaa na dunia hiyo nyumba usiiuze. Kama ni ada hamisha watoto shule peleka za kawaida na jishushe kimaisha ila mjengo baki nao ndio urithi mkubwa wa watoto. Siku hizi tunawasomesha na kazi hawapati so elimu sio urithi mkubwa kihivyo kama mali kama hii nyumba.
Ramani yako nzuri sana pambana uimalize