INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

πŸ˜‚ Kwamba Mkuu amepiga picha za pembeni nyumba haionekani ni uchochoro tu ndo unaonekana HD 🀣🀦πŸ€ͺπŸ˜³πŸƒ
Huyu bwana cholo boy ndi zake. Anatupia picha za mbavuni tu moja halafu.
 
Mbona unaandika Tangazo as if we kibaka tu. Kuwa serious basi mzee.
 
Zipo Mjimwema mtaa wa Ungindoni Moja Ina vyumba vitatu na yapili Ina vyumba viwili zote Zina Master.

Mmoja moja sitting room dining room jiko na public toilet zipo location nzuri

Sina Bei ml 130 maongezi yapo kidogo nicheki
0713672719

0787672719

Nyumba nzuri, ila kila nikiona tangazo la nyumba kuuzwa naanza kucheck ID. Bado ule mzimu wa kuongeza 300M kwenye biashara ya gas station ya Mbagala unakuandama mkuu. Its' either ubadili ID au utolee ufafanuzi mkuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungindoni ndo kule kwenye tope na maji au...kwa uzui ni kuzur sana tatzo ni hilo hapo juu...samahan mtoa post
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…