HahahNyumba nzuri, ila kila nikiona tangazo la nyumba kuuzwa naanza kucheck ID. Bado ule mzimu wa kuongeza 300M kwenye biashara ya gas station ya Mbagala unakuandama mkuu. Its' either ubadili ID au utolee ufafanuzi mkuu.
Ndio mkuuMl 130 kwa nyumba zote mbili?
Kujibu naweza Ila muungwana huwa hapendi upumbavu ukiona kitu ukiwezi jalibu kukaa kimya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kujibu naweza Ila muungwana huwa hapendi upumbavu ukiona kitu ukiwezi jalibu kukaa kimya
Mtoto wakiume unatafuta bwana kwa nguvu nakusikitikiaUnaongeza milioni 300 kama hela za babako! Hata bei ya hizi nyumba hakuna anayekuamini!
SawaLipo Gezaulole kigamboni Lina ukubwa
Wa sqm 7540 sawa na heka mbili kaoro
Linafaa kwa sheli yadi au lite industry
Lina hati miliki kwa Sasa matumizi ni
Commercial Bei ml 400 nicheki
0713672719
/0787672719
View attachment 1601074View attachment 1601075View attachment 1601077
Cholo boy!Lipo Gezaulole kigamboni Lina ukubwa
Wa sqm 7540 sawa na heka mbili kaoro
Linafaa kwa sheli yadi au lite industry
Lina hati miliki kwa Sasa matumizi ni
Commercial Bei ml 400 nicheki
0713672719
/0787672719
View attachment 1601074View attachment 1601075View attachment 1601077
NaamCholo boy!
Ishahama shuleNdio ilipo hyo shule ya oprah ..?