INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

NYUMBA INAUZWA
KIGAMBONI KIBADA MTAA (Uvumba) BEI MILIONI 85 TU
CALL 0787672719 0767672719 WHTSP 0713672719
NYUMBA KUBWA YA KIBIASHARA
INAVYUMBA SELF 2 NA CHUMBA SEBULE 3 CHUMBA SINGLE 2 PAMOJA NA FLEMU 4 ZA BIASHARA
KIBADA MTAA WA UVUMBA NI KILOMETA 5 TU TKOKEA KIVUKONI /DARAJANI NA MITA MIA MBILI KUTOKA KIBADA STEND
Screenshot_20221213-213116.jpg
Screenshot_20221213-213148.jpg
Screenshot_20221213-213206.jpg
 
CONTACT: 0787672719 == 0767672719 { KAMCHAPE ONE IN DAR ES SALAAM { == }

Nyumba ya kisasa inauzwa Chanika mwisho mjini mil 25

Ni mali halali ya dadaangu anauza amefeli kwenye biashara zake kwahiyo kimfaacho mtu chake karibuni.

Chanika mwisho mjini manispaa ya Ilala Dar es Salaam Tanzania. {Bei tshg millioni 25,000,000/={Maongezi mezani}

Ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja kina master bedroom dinning room public toilet jiko na sitting room

Umeme upo = maji yapo = huduma zote za kijamii zinapatikana jirani sana

Umbali toka barabara kuu ya lami dk 5 tu kwa miguu.

KWA MHUTAJI SILIASI ANIPIGIE SIMU KUFIKA KWENYE NYUMBA AKAGUE AKIRIDHIKA TUMALIZE BIASHARA MAPEMA TU
Screenshot_20221220-111959.jpg
Screenshot_20221220-111822.jpg
Screenshot_20221220-111846.jpg
Screenshot_20221220-111822.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20221220-111929.jpg
    Screenshot_20221220-111929.jpg
    48 KB · Views: 8
Ukubwa wa kiwanja na je kuna njia ya kutokea au mtu kati??
 
Naomba taarifa zifuatazo:
1. Nyumba yote ni square meter ngapi?
2. Eneo la kiwanja ni square meter ngapi?
3. Je sebule ina eneo la square meter ngapi?
4. Je master bedroom ina eneo la square meter ngapi?
5. Je nyumba ina hati?
6. Je nyumba ni ya urithi au alijenga mwenyewe?
7. Je panafikika nyumbani kwa gari?

Majibu kwa maswali hayo juu yataniwezesha kuchukua maamuzi faster!
 
Kwahiyo ni chini ya 20×20 sqm....duuuh kuna choo cha nje kwelii?
Jombaa acha mboyoyo ushaambiwa nyumba ina public toilet ndani sa lichoo la nje la nini au kakwambia ni bar hiyo?!

Kiujumla hiyo nyumba inauzwa kwa "throw away amount" haijalisha how coverage it is kikubwa specifications zake zimeenea kwa kiasi chake.
Wenye hela wahini mapema sana mkachukue hiyo nyumba make hata kwa kupangisha tu inarudisha pesa yako within no time.
 
Naomba taarifa zifuatazo:
1. Nyumba yote ni square meter ngapi?
2. Eneo la kiwanja ni square meter ngapi?
3. Je sebule ina eneo la square meter ngapi?
4. Je master bedroom ina eneo la square meter ngapi?
5. Je nyumba ina hati?
6. Je nyumba ni ya urithi au alijenga mwenyewe?
7. Je panafikika nyumbani kwa gari?

Majibu kwa maswali hayo juu yataniwezesha kuchukua maamuzi faster!
Kama maswali yangu hapo juu hayana majibu, hamu imeniishia ghafla! Nimepata jibu moja la ukubwa wa kiwanja kupitia jibu kwa muulizaji mwingine. Ngoja nisubiri kidogo vinginevyo nitakuwa nimenyoosha mikono!
 
Eneo lipo cheka kigamboni
Lina ukubwa wa sqm 5724
Lina hati miliki kwa ajili ya Petro station (sheli) Bei milioni 250
Mzungumzo yanakaribishwa
Lipo kilometers 20 toka kivukoni
0787672719
0767672719
IMG_20221222_164840_314.jpg
IMG_20221222_164845_137.jpg
IMG_20221222_164838_043.jpg
 

Attachments

  • IMG_20221222_164840_314.jpg
    IMG_20221222_164840_314.jpg
    55.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom