Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Mkubwa tangazo limeeleweka ila umesema mmekata viwanja...means havija pimwa? (Surveyed plots)
Silaha kubwa sahv ya kuuza viwanja Ni uhakika kuwa viwanja vimepimwa na kusaidia wanunuzi ku process Hati kutoka wizarani
Sent using Jamii Forums mobile app
Silaha kubwa sahv ya kuuza viwanja Ni uhakika kuwa viwanja vimepimwa na kusaidia wanunuzi ku process Hati kutoka wizarani
Sent using Jamii Forums mobile app