INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

Kiwanja kipo Kibugumo linaukubwa
Wa mita 30×20 kimezungushiwa ukuta
Tayari Bei milioni 27 mzungumzo kidogo
Kipo kilometers 9.5 mpaka site kutoka
Kivukoni kwa maelezo zaidi nicheki
0713672719

0787672719

Screenshot_20220827-162354.jpg
Screenshot_20220827-162340.jpg
Screenshot_20220827-162425.jpg
 
Plot ipo mjimwema kigamboni
Ina ukubwa wa sqm 523 imeshafanyiwa
Upimaji bado kutolewa hati kuepusha
Garama za transfer Bei milioni 25
Ipo kilometers 7 toka kivukoni mita 400
Toka main road huduma zote zipo karibu
0713672719
0787672719
IMG_20220813_153533_318.jpg
IMG_20220813_153520_013.jpg
IMG_20220813_153521_784.jpg
 
Mwisho wala nazi watasosa nazi, maana mashamba ya minazi naona yanauzwa kwa kasi sana,
 
Kiwanja kipo mwembe mdogo kigamboni
Kina ukubwa wa sqm 547 kimeshapimwa
Bado hati tu Bei milioni 7 mzungumzo yapo
Kipo mita 400 toka kilipo chuo Cha Afya
0713672719
0787672719
IMG-20220902-WA0303.jpg
IMG-20220902-WA0301.jpg
IMG-20220902-WA0304(1).jpg
Screenshot_20220902-170248.jpg
 
Ipo kibada kigamboni nyumba ni ya kibiashara.

Ina vyumba viwili chumba sebule vyumba vitatu masters vyumba viwili singo na frem 4 za biashara Bei milioni 90 mzungumzo yapo kidogo.

Ipo kilometers 5 toka darajani mita 120 toka main road
0713672719
0787672719
Screenshot_20220514-083632.jpg
Screenshot_20220513-153942.jpg
 
Back
Top Bottom