Nassoro Abdallah
Member
- Jul 22, 2020
- 89
- 94
- Thread starter
-
- #161
Sqm 350Kiwanja sqm ngapi?
Ndio kila kitu kimekamilikaKila kitu kimekamilika?
TulijisahauPicha za ndani dada alikataa usipige?
Hapo nimepata jibu la swali moja ambalo pia niliuliza. Nasubiri kwa hamu majibu ya maswali yangu mengine.Sqm 350
Kwahiyo ni chini ya 20×20 sqm....duuuh kuna choo cha nje kwelii?Sqm 350
Ngoja tupate jibu la nyumba yenyewe ni sqm ngapi.Kwahiyo ni chini ya 20×20 sqm....duuuh kuna choo cha nje kwelii?
Picha za ndani wakati bado kuna mtu anaishi humo haiwezekani!! Hiyo ni Privacy!! Ingekuwa haina mtu sawa!Picha za ndani dada alikataa usipige?
Jombaa acha mboyoyo ushaambiwa nyumba ina public toilet ndani sa lichoo la nje la nini au kakwambia ni bar hiyo?!Kwahiyo ni chini ya 20×20 sqm....duuuh kuna choo cha nje kwelii?
Kama maswali yangu hapo juu hayana majibu, hamu imeniishia ghafla! Nimepata jibu moja la ukubwa wa kiwanja kupitia jibu kwa muulizaji mwingine. Ngoja nisubiri kidogo vinginevyo nitakuwa nimenyoosha mikono!Naomba taarifa zifuatazo:
1. Nyumba yote ni square meter ngapi?
2. Eneo la kiwanja ni square meter ngapi?
3. Je sebule ina eneo la square meter ngapi?
4. Je master bedroom ina eneo la square meter ngapi?
5. Je nyumba ina hati?
6. Je nyumba ni ya urithi au alijenga mwenyewe?
7. Je panafikika nyumbani kwa gari?
Majibu kwa maswali hayo juu yataniwezesha kuchukua maamuzi faster!