Plot4Sale Nauza viwanja viwili Nkuhungu na Vikonje (Dodoma)

Plot4Sale Nauza viwanja viwili Nkuhungu na Vikonje (Dodoma)

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.

______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil

Picha yake

Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki kinataka 27mil kimepimwa hati bado..

Picha yake.

Mawasiliano kwa aliye tayari 0622723082, 0755472769

IMG-20210805-WA0000.jpg

IMG-20210805-WA0001.jpg
 
2
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado..

Picha yake

Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki kinataka 27mil kimepimwa hati bado..

Picha yake
Mawasiliano kwa aliye tayari 0622723082.. 0755472769

View attachment 1881543

View attachment 1881545
27m 40x40 Dodoma? Noo
 
Dodoma
VIKONJE MIL 22 HIVI HELA HIZI JAMEN WENGINE MNAZIPATA WAPI? SISI WABONGO hatuna uhalisia kabisa...Kuna kipindi kiwanja Masaki kilikua mil 8 dola..Wakati marekani nyumba inauzwa dola laki 3
Aisee. Nimechoka balaa
 
Dodoma
VIKONJE MIL 22 HIVI HELA HIZI JAMEN WENGINE MNAZIPATA WAPI? SISI WABONGO hatuna uhalisia kabisa...Kuna kipindi kiwanja Masaki kilikua mil 8 dola..Wakati marekani nyumba inauzwa dola laki 3
Shangaa mkuu sijui wenzetu wanapata wapi hela,mnada mpya ununue kwa mil.22 kiwanja plain????
 
Back
Top Bottom